Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,110
- 60,838
I doubt the picture of dead man to be the real Nasser.
Huyo mzee anaitwa Naseer Al Kharafi
Ni mmoja katika familia hiyo ya Al Kharafi
Ila picha zote hizo hazina uhalisia na maisha yake
I doubt the picture of dead man to be the real Nasser.
Ahh atiii!!!JF haiendeshwi kwa sheria za uingereza!
Tajiri wa Kuwait ni huyu mshana Yuko sahihi iyo picha nyingeni ya jeneza kawakilisha Kama mada yakei ilivyosema yaani mtu unakufa unaacha mali zoteView attachment 1283030View attachment 1283032View attachment 1283033

Nimeona anakutishia kukuloga Mkuu hahah
Hivi kuna mchawi alishawahi kuloga Computer?
Duniani kuna vituko wajameni
Kusoma comments ni raha kuliko hata kucomment
Uongo mtupu.
Tajiri wa Kuwait ni huyu mshana Yuko sahihi iyo picha nyingeni ya jeneza kawakilisha Kama mada yakei ilivyosema yaani mtu unakufa unaacha mali zoteView attachment 1283030View attachment 1283032View attachment 1283033
Huu uzi umeanza kama mzaha ila nimejifunza mambo machache lakini muhimu sana.
1. Watu hawana umakini katika kuchukua taarifa,na kuzihakiki kabla ya kuziweka. Hili tatizo lipo sana humu na huwa lina matokeo mabaya sana.
2. Humu watu wanachukiana balaa,yaani kuna mambo mtu anaweza kufanya aidha akawa amekosea au amepatia,ila wale walio dhidi yake huchupa mipaka na kuweka mambo ambayo hayastahiki,wanao fanya hivi wakae wakijua ya kuwa wana alama miongoni mwa alama za unafiki.
Ushauri wangu kama kuna mtu unamchukia,aisee ili uwe salama au uepuke kumdhulumu mtu unaye mchukia au wewe kukosea katika kumzungumzia bora ukae kimya.
3. Hili ni sehemu au za la lile pili,watu tujifunze kuweka kila kitu mahala pake,japo jambo hili linataka maarifa na elimu,hatuna budi kujaribu kuishi humo.
Nasema hivi "Kwenye wanaume kuna wanaume"
Yaani wee acha utamu tunaujua wahusika tunaofanyaga hivyo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Na kulike kama hivi,ni raha zaidi.
You'rebetter than this broh..Ushauri wangu kama kuna mtu unamchukia,aisee ili uwe salama au uepuke kumdhulumu mtu unaye mchukia au wewe kukosea katika kumzungumzia bora ukae kimya.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji109][emoji109][emoji123] CHUKI HUWA NI ZA WASHINDWA