Kafa... Kaacha vyote hivi.... Fumbo la kifo...

Kafa... Kaacha vyote hivi.... Fumbo la kifo...

Huyo marehemu kanichekesha kweli,yaani anazikwa na macheni yake yote..
Pesa ,Mali si lolote hata uwe tajiri vipi,utakufa utaviacha,
Ndo maana Mimi nashangaa sana,mtu ananyang'anywa ki Ranchi tu Cha ng'ombe anaamua kuuza utu wake na kuwa mnafiq.
Mahatm ghandi baba wa taifa la India,alikuwa masikini sana,lakini utu wake unasimama leo,kesho na hata milele
 
Uwe mchangiaji, yaani pesa.
Unajua moja ya sources of income kwa JF (ukiachana na matangazo) ni michango ya pesa wanayochangia baadhi ya members.

Yeyote anaruhusiwa kuchangia.
Sasa ukichangia amount fulani (sikumbuki kiasi gani) basi kama shukran unapandishwa class na kuwa Platinum Member.

Kuna Gold member pia, Silver sina uhakika.
But all in all ukiona mtu kapewa status hizi ujue amechangia pesa kiasi fulani kwenye uongozi wa JF.

Kwahiyo it is openly understandable kuwa uongozi lazima ufanye juu chini kumlinda Platinum member hata pale anapokosea ili kutunza chanzo cha mapato.
Kumbe jf wanapitisha bakuli kama yanga, bora nirudi zangu fb
 
Hahahahaaa wakuu mimi nauliza Yule mchomelea mageti aliahidi kushinda Baharini usiku huku akichutama..mkabala kabisa na jini mahaba..kwa madhumuni ya kuroga JF..

Nauliza bado amechutama baharini Au karudi duniani??
 
Ni coins sawa lakini pia lazima ufanye kafara ya damu... Hii ndio ticket na kiingilio rasmi cha kuingia huko
Kwenye movie ya Clash of the Titans(2010) inasemekana ili kuingia kuzima(underworld) lazima utupe coin(sarafu ya fedha) ili the Ferryman akuruhusu uvuke ila sio mihela kama yote.
 
Ndo maana Mimi nashangaa sana,mtu ananyang'anywa ki Ranchi tu Cha ng'ombe anaamua kuuza utu wake na kuwa mnafiq. [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]thats. Why I hate politik...!!!
Huyo marehemu kanichekesha kweli,yaani anazikwa na macheni yake yote..
Pesa ,Mali si lolote hata uwe tajiri vipi,utakufa utaviacha,
Ndo maana Mimi nashangaa sana,mtu ananyang'anywa ki Ranchi tu Cha ng'ombe anaamua kuuza utu wake na kuwa mnafiq.
Mahatm ghandi baba wa taifa la India,alikuwa masikini sana,lakini utu wake unasimama leo,kesho na hata milele
 
Kwahiyo huyo jamaa ni mchawi? Hivi kuna mchawi anaweza kujitangaza?
Hahahahaaa wakuu mimi nauliza Yule mchomelea mageti aliahidi kushinda Baharini usiku huku akichutama..mkabala kabisa na jini mahaba..kwa madhumuni ya kuroga JF..

Nauliza bado amechutama baharini Au karudi duniani??
 
Hebu njoo na ID yako halisi

Kuna mada zingne unapuyanga Mshana Jr
Screenshot_20191206-121130~2.jpeg
 
Ingekuwa vipi Kama angekuwa mtanzania?!
Labda angeitwa mtakatishaji wa fedha na dhahabu
Ingekuwa vipi Kama angekuwa mkenya?!
Labda wakenya wangemshindanisha na Dm
Ingekuwa vipi
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16]
Ingekuwa vipi Kama angekuwa mtanzania?!
Labda angeitwa mtakatishaji wa fedha na dhahabu
Ingekuwa vipi Kama angekuwa mkenya?!
Labda wakenya wangemshindanisha na Dm
Ingekuwa vipi
 
Ingekuwa vipi Kama angekuwa mtanzania?!
Labda angeitwa mtakatishaji wa fedha na dhahabu [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]mhujumu uchumi
Ingekuwa vipi Kama angekuwa mtanzania?!
Labda angeitwa mtakatishaji wa fedha na dhahabu
Ingekuwa vipi Kama angekuwa mkenya?!
Labda wakenya wangemshindanisha na Dm
Ingekuwa vipi
 
Back
Top Bottom