Huu uzi umeanza kama mzaha ila nimejifunza mambo machache lakini muhimu sana.
1. Watu hawana umakini katika kuchukua taarifa,na kuzihakiki kabla ya kuziweka. Hili tatizo lipo sana humu na huwa lina matokeo mabaya sana.
2. Humu watu wanachukiana balaa,yaani kuna mambo mtu anaweza kufanya aidha akawa amekosea au amepatia,ila wale walio dhidi yake huchupa mipaka na kuweka mambo ambayo hayastahiki,wanao fanya hivi wakae wakijua ya kuwa wana alama miongoni mwa alama za unafiki.
Ushauri wangu kama kuna mtu unamchukia,aisee ili uwe salama au uepuke kumdhulumu mtu unaye mchukia au wewe kukosea katika kumzungumzia bora ukae kimya.
3. Hili ni sehemu au za la lile pili,watu tujifunze kuweka kila kitu mahala pake,japo jambo hili linataka maarifa na elimu,hatuna budi kujaribu kuishi humo.
Nasema hivi "Kwenye wanaume kuna wanaume"
[emoji109][emoji109][emoji106]Hii ni ya kutengeneza kwa ajili ya kufikisha ujumbe... Katika uhalisia ni ngumu na ni almost haiwezekani
na wame delete comments zetu za kumchanaNaona hiyo point namba moja umeiruka kama mkojo vile. Kuhusu kurakua rakua habari mitandaoni na kugeuza JF kama dampo
😎 😎 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Makabuli ya wahanga pale maili mbili dodoma, kuna kabuli moja kubwa sana la mama mmoja ambaye alizikwa na vitu vyake vyote yaani vitanda,viti,vyombo,nguo nk. Hawa matajiri nao wazikwe na mali zao tuu.
Naona hiyo point namba moja umeiruka kama mkojo vile. Kuhusu kurakua rakua habari mitandaoni na kugeuza JF kama dampo
😎 😎 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu wazima tunaelewa.
Wanapambana kumlinda mchomelea mageti 😎 😎 😎 😎😎😎
Sema nini, mradi ujumbe unamfikia mlengwa. Tabia ya kugeuza JF kama dampo ipigwe vita aisee. Credibility yote ya JF ina shrink unnoticeable.
Bana bana...
Kuna wadau wangu wa karibu sana wameni penyezea ukiwa Platinum Member kuna administrative actions Fulani hapa JF unakua treated extraordinarily compared to other prominent members.
Ndivo ilivo. Na ndicho kinacho dhihirika hapa.

Uwe mchangiaji, yaani pesa.
Unajua moja ya sources of income kwa JF (ukiachana na matangazo) ni michango ya pesa wanayochangia baadhi ya members.
Yeyote anaruhusiwa kuchangia.
Sasa ukichangia amount fulani (sikumbuki kiasi gani) basi kama shukran unapandishwa class na kuwa Platinum Member.
Kuna Gold member pia, Silver sina uhakika.
But all in all ukiona mtu kapewa status hizi ujue amechangia pesa kiasi fulani kwenye uongozi wa JF.
Kwahiyo it is openly understandable kuwa uongozi lazima ufanye juu chini kumlinda Platinum member hata pale anapokosea ili kutunza chanzo cha mapato.

hii habari ni ya uongo for real..nakumbuka stori ya huyo mwana aliezikwa na micheni ya gold niliiona muda kidogo..ni tycoon wa unga wa trinidad and tobagoUnaokota habari za uzushi huna uhakika nazo. Cheki chini hapa.
View attachment 1282868
Duuuh!Mtu mzima akijikojolea hadharani lazima akanywe, aonywe. Asijifanye eti alizidiwa na mkojo. Bila hivo kila mtu atakua anakojoa popote apendapo.
Dunia na wote wakaao ndani yakeMali na vyote vijazavyo nchi ni mali ya Bwana!