Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
Nini mbaya jamani kaka![emoji848][emoji144]
Nini mbaya jamani kaka![emoji848][emoji144]
ahahahahahahahahah..Haya bwana.Mi binafsi hakinisumbui kuviacha, lakin je hiv nitakavyoviacha vitaweza kuwasaidia wanangu na wapendwa wangu niliowakusudia? au ndio wahuni wataingiliakati?
hapo tu ndio pananiumaga
HahahahaHaters... Please read this with a painful heart View attachment 1284037
Wee mchaga kwasasa nyongo zimewapungua ngoja zijae nilipue tena... Tu enjoy mapovu[emoji23][emoji23][emoji23]
mzee mzima mshana anakwama wap na hizi Hoax?Unaokota habari za uzushi huna uhakika nazo. Cheki chini hapa.
View attachment 1282868
Mada ya kifo cha Sitta unaweka picha za Bob Marley sio?
Unatuona mapoyoyo eeh?
Dah! Mvua zina nyesha balaa mikoani