Kafa... Kaacha vyote hivi.... Fumbo la kifo...

Kafa... Kaacha vyote hivi.... Fumbo la kifo...

Linapokuja swala kifo vyote tutafutavyo havina thamani mbele ya roho isio onekana Bali vinathamani kwa wale wenye kuviona hata uvalishwe Nini pumz ikikata imekata no one anae weza kukurudisha Tena.

Pesa tutafute but hazina thamani Tena ukifa , wanawake wazuri hawana thamani Tena mbele yako hawana uwezo wa kukuamsha Tena.

Kitakachokuwa faraja kwako Ni kukugandisha ili kuendelea kupata maumivu ya bard na sindano Mana Kila roho Ina maumivu yake Ingali mwili haufanyi Kaz Tena.

Nguvu ya asili na nguvu ya maono huboresha Yale usioyaona na kufikiria kwa akili fupi

Inahitaji akili nying Sana kumuelewa mtoa mada japo nae Ni binadamu hajakamilika anakosea pia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom