Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,128
Hahaha daahUlishawahi kuona mwili wa muislam ukiwa kwenye jeneza mkuu? Namaanisha Muislam kabisa maiti ifunuliwe watu waitazame wazi wazi?
Hahaha daahUlishawahi kuona mwili wa muislam ukiwa kwenye jeneza mkuu? Namaanisha Muislam kabisa maiti ifunuliwe watu waitazame wazi wazi?
Inanikumbusha uzi wa dentMtu mzima akijikojolea hadharani lazima akanywe, aonywe. Asijifanye eti alizidiwa na mkojo. Bila hivo kila mtu atakua anakojoa popote apendapo.
![]()
Man is adorned with gold and doused with champagne before cremation
Sheron Sukhedo, 33, was gunned down in a drive-by shooting outside the home of his wife's parents in Trinidad and Tobago last week.www.dailymail.co.uk
NakuhabarishaDar hapo
Bro mshana uko sahii, maudhui ya post yako yanaeleweka. Ila hakuna faida pia kuishi kimasikini, tutafute pesa mapesa as long as uwe tajiri ama masikini utakufa tu. Utajiri Ni Bora zaidi kuliko u asikini
Niko good Mkuu nikitulia nitakutafuta Nina issue muhinu Sana ya kukueleza hopeful utafurahi coz miracle s happen[emoji120][emoji120][emoji120]aisee unaendeleaje?
HATA MUNGU NI TAJIRI UMASKINI NI DHAMBI SANA, INABIDI WATUBU , HUYO TAJIRI ALOKUFA NA KUACHA MALI ANAENDA MBINGUNI MOJA KWA MOJA KULA RAHA. MTASHANGAA! SIKU TUKIENDA HUKO,
MUNGU KAMTWAAA HUYO! WALOJARIBU KUMPIGA VITA WATAKAPO MUONA TU HUKO MBINGUNI WATAZIMIA KWANZA!
RAFIKI ZAKE MUNGU WALIKUWA MATAJIRI, KM IBRAHIM, MUSA, AYUBU, SULEIMAN NK. WEE HUONI HATA MAJENEZA YAO NI DHAHABU TUPU YES!