Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Wewe ni mpumbavu,hiyo tenda ya mwanza isaka imepitishwa kipindi cha Magu na Kadogosa,sasa kelele zako za niniMajitu kama wewe ni wapumbavu Sana,hujasoma mada wala kutafuta gazeti unaropoka mbwa wewe..
Nimekwambia huyo mpumbavu mwenzio analazimisha Yapi wapewe Kazi bila kushindana tena kwa gharama kubwa .
Lot ya Mwanza alitaka hivyo hivyo wakashindanisha yeye alikuwa na bei kubwa kuliko mchina,hapo nani anataka kula cha juu?
Ni hivi hiyo kampuni mliyoiweka Ili mpate pesa za bure ikaliza hicho kipande habari yake imeisha maana mnalazimisha ipate tender bila ushindani kwa sababu mnaitumia kupitisha pesa kwa kuongeza bei ya tender..
Haiwezekani walitofautiana na mchina kwa zaidi ya Til.1 lakini bado mnashinikiza.
Mama fukuza hawa misukule ya mwendazake ni majizi yamejificha kwenye kichaka cha uzalendo