Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

Nyie

Ninyi ni wale wapuuzinaotaka kula cha juu kisha mradi uwe na ghalama kubwa.
Kama mnataka kushundana basi mjenge kwa kiwango cha chini ya hao yapi markenz na reli iwe na uborawa juu kama wa awali hapo tutawaelewa.
Majitu kama wewe ni wapumbavu Sana,hujasoma mada wala kutafuta gazeti unaropoka mbwa wewe..

Nimekwambia huyo mpumbavu mwenzio analazimisha Yapi wapewe Kazi bila kushindana tena kwa gharama kubwa .

Lot ya Mwanza alitaka hivyo hivyo wakashindanisha yeye alikuwa na bei kubwa kuliko mchina,hapo nani anataka kula cha juu?

Ni hivi hiyo kampuni mliyoiweka Ili mpate pesa za bure ikaliza hicho kipande habari yake imeisha maana mnalazimisha ipate tender bila ushindani kwa sababu mnaitumia kupitisha pesa kwa kuongeza bei ya tender..

Haiwezekani walitofautiana na mchina kwa zaidi ya Til.1 lakini bado mnashinikiza.

Mama fukuza hawa misukule ya mwendazake ni majizi yamejificha kwenye kichaka cha uzalendo
 
Ni jambo jema sana PPRA wamesaidia serikali kuokoa mabilioni ya dola Ila Muhimu kuzingatia huyo mkandarasi mchina anaejenga kwa gharama nafuu ajenge kwa Ubora ule ule ulio Katika mkataba na kukitokea maharibifu yoyote kabla ya muda maalumu kuisha mkandarasi anapaswa kurekebisha kwa gharama zake mwenyewe

Pengine hao waturuki wanajenga kwa gharama kubwa Lakini viwango vinakuwa bora kuliko wachina

Kuna wakati wakandarasi wanatoa gharama za chini ili wapate tenda Lakini kazi inakuwa ya kiwango duni hata umaliziaji unakuwa shida
Ubora hauwezi kuwa compromised kwa sababu ishu ni kusimamia tuu na wasimamizi wapo.
 
Kuna s

Kuna sheria ya Single sourcing, unaweza mpa kazi kandarasi mmoja na sheria i inakulinda.

Hao wachina wasipewe kitu ni wezi na wana mafisadi nyuma yao wanataka kupiga trillions hapo. So Chinese companies zisipewe kabisa kitu Yapi wako vizuri na gharama nafuu sana kwa viwango vya kimataifa.
Umesoma au umekurupuka kama mkojo?

Unapewa au unashindana? Kwa hiyo wasipewe tender hata kama wanajenga kwa gharama ndogo Kisa Wana mafisadi nyuma?

Nchi inataka value for money au mambo ya ufisadi? Nani anataka kupiga anaeweka bei kubwa au mwenye bei ndogo? Akili kisoda.
 
Hivi sijui lini tutajifunza kuelewana na watoa huduma wetu

Yaani masaa yote tuandhani ni vita kati ya TZ na watoa huduma walioacha kwenda nchi nyingi zingine na kuja kukupa huduma ya kukujengea reli

Tujifunze kua any engagement ni win win na sio zero some game na sio vita kati ya mtoa huduma na mpokea huduma

Miradi yetu mingi inaishiaga kwenye ugomvi sababu ya reactionary attitudes za watu kama nyie

Yapi sio adui wa serikali na serikali sio adui wa Yapi..hawa watu wanafanya biashara mtoa na mpokea huduma

Yaani hii attitude ya kipumbavu sana...

Elewaneni,fanyeni baishara,toa huduma,lipia mlichoelewana,kazi iishe mpate maendeleo,sio vita wapumbavu nyie

Ndio maana wakandarasi wakubwa duniani hawaji kwenye nchi za kisenge kama hizi maana zimejaa kima kama nyie..hamna hela na still mnataka mchukue mabomu muue Yapi wakati kawapa huduma anadai hela yake

Kanchi masikini kananuka shida hadi matakoni still mpo hapa mnataka kujenga vita na watoa huduma wenu wale wale,chanzo nini?Hakuna,ni ubongo wa baboons tupu

Lazima tuwe na akili za modernity,kwamba tumempa mtu kazi ya kutuletea muundombinu,kaleta,na tumempa hela yake,shake hands let him go..sio kutanua matako na kuanza kunya na kuhara

Ndio maana makampuni yenye high tech na know how about these infrastructures zenye first world quality hawaji huku mavini sababu viongozi ni vichaa kwanza
Umeelewa mada au umekurupuka kuandika ujinga wako hapa?

Rudi kusoma Kisha uje kuandika maoni yako upya maana unayoyasema hayaendani na mada yangu..

Mada ni gharama za ujenzi Kati ya Yapi Merkez na washindani wake huku yapi akitaka kubebwa tena na Afisa wa serikali licha ya kuwa na gharama kubwa..

Kwako wewe Serikali kuokoa Til.1 kwa kumnyima Kazi Yap na kumpa Mchina unaona ni ujinga? Una akili timamu?
 
Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.

Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.

Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.

Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakion ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.

Sio miradi ya kichina ni wachina watupu mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.

I am sick of these Chinese very selfish.

As is it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wa kubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Hawapendi ulichokiandika ila ndo ukweli wenyewe.
 
Habari wadau..

Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.

Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.

Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.

Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.

Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.

Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.

Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.

Karibuni kwa mjadala. 👇

View attachment 1951944

View attachment 1951945

View attachment 1951946

View attachment 1951947

Kwani huyo Kadogosa hana sababu za msingi kwa nini TRC inapendekeza Yapi Merkez badala ya lowest bidder?

Siyo kila kilicho cheap ni sahihi na tuna uzoefu wa wachina kubid lower lakini kazi ikawa mediocre baada ya muda mfupi tu.

Yote kati ya yote kama Yapi ameprove kudeliver hicho nacho ni cha msingi kisipuuzwe.
 
Hivi sijui lini tutajifunza kuelewana na watoa huduma wetu

Yaani masaa yote tuandhani ni vita kati ya TZ na watoa huduma walioacha kwenda nchi nyingi zingine na kuja kukupa huduma ya kukujengea reli

Tujifunze kua any engagement ni win win na sio zero some game na sio vita kati ya mtoa huduma na mpokea huduma

Miradi yetu mingi inaishiaga kwenye ugomvi sababu ya reactionary attitudes za watu kama nyie

Yapi sio adui wa serikali na serikali sio adui wa Yapi..hawa watu wanafanya biashara mtoa na mpokea huduma

Yaani hii attitude ya kipumbavu sana...

Elewaneni,fanyeni baishara,toa huduma,lipia mlichoelewana,kazi iishe mpate maendeleo,sio vita wapumbavu nyie

Ndio maana wakandarasi wakubwa duniani hawaji kwenye nchi za kisenge kama hizi maana zimejaa kima kama nyie..hamna hela na still mnataka mchukue mabomu muue Yapi wakati kawapa huduma anadai hela yake

Kanchi masikini kananuka shida hadi matakoni still mpo hapa mnataka kujenga vita na watoa huduma wenu wale wale,chanzo nini?Hakuna,ni ubongo wa baboons tupu

Lazima tuwe na akili za modernity,kwamba tumempa mtu kazi ya kutuletea muundombinu,kaleta,na tumempa hela yake,shake hands let him go..sio kutanua matako na kuanza kunya na kuhara

Ndio maana makampuni yenye high tech na know how about these infrastructures zenye first world quality hawaji huku mavini sababu viongozi ni vichaa kwanza
Point mkuu,kuna kenge wanakera sana hii nchi.
 
Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.

Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.

Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.

Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakion ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.

Sio miradi ya kichina ni wachina watupu mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.

I am sick of these Chinese very selfish.

As is it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wa kubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Nafikiri pia mtoa mada anadhani kubid cheaper ndicho cha muhimu zaidi kuliko factors zingine.
 
Majitu kama wewe ni wapumbavu Sana,hujasoma mada wala kutafuta gazeti unaropoka mbwa wewe..

Nimekwambia huyo mpumbavu mwenzio analazimisha Yapi wapewe Kazi bila kushindana tena kwa gharama kubwa .

Lot ya Mwanza alitaka hivyo hivyo wakashindanisha yeye alikuwa na bei kubwa kuliko mchina,hapo nani anataka kula cha juu?

Ni hivi hiyo kampuni mliyoiweka Ili mpate pesa za bure ikaliza hicho kipande habari yake imeisha maana mnalazimisha ipate tender bila ushindani kwa sababu mnaitumia kupitisha pesa kwa kuongeza bei ya tender..

Haiwezekani walitofautiana na mchina kwa zaidi ya Til.1 lakini bado mnashinikiza.

Mama fukuza hawa misukule ya mwendazake ni majizi yamejificha kwenye kichaka cha uzalendo
Ukiwa mj8nga usilazimishe wengine wawe wajinga na marofa kama wewe.
Sasa sema wewe unataka kampuni gani na ina bei gani na ubora gani na itatoa nini kwa watanzania?
Ili tuione ni bora kuliko hao makenzi sema hapa tuijue kama sio nyie mafisadi.
 
Mchina ndio anayedhani hiz kelele humu mtaandaoni ila ovyo kabisa BRT Ya mbagala gerezani anasuasua bado kapewa uwanja wa kimataifa wa ndege msalato
 
Wale Wachina waliojenga TAZARA walipotelea wapi?
Kitu kimejengwa mwaka 70 ila hadi leo kinadunda.

Kila zama na kitabu chake. Wale walikuwa na teknolojia, uaminifu na uzalendo wa kweli wa kikomunisti. Walikuwa na nguo aina moja tu na kulala site juu ya masanduku ya mbao. Kizazi chao kilipita.

Wajukuu zao ndio hao wanaokuja leo wamevaa suti na kufikia Serena au Hyatt. Wanajadili na kusaini mikataba ya kibepari kwa viwango mbalimbali. Wako “flexible”: Pesa yako tu.

Ukitaka kiwango cha kimataifa basi lipia bei yake na uwasimamie kikamilifu. Ukitaka wakugawie 10, 20, hata 50 pasenti ya bei, hamna tabu; wanafanya “adjust” tu kwenye kiwango cha kazi. Na usimamizi ukiwa wa kubabaisha wanaweza hata kukujengea “reli ya mabua” yenye mwonekano wa chuma cha pua!
 
Yaani kila mtu asie ccm ni vita with no reason at all.

Wazungu vita
Mmarekani vita
Contractors wanaowadai vita
Chadema vita
Mbowe vita
Tweeter vita
Katiba mpya vita
Tume huru ya uchaguzi vita
Demokrasia vita
Uchumi imara vita
Mikutano ya siasa vita
Wafanyabishara vita
Wawekezaji vita
UN vita
Anaetoa maoni tofauti nao vita
Mtanzania mwenye akili anaejitambua ni vita
Tweeter spaces ni vita
Clubhouse discussions ni vita
NGOs ni vita
Balozi zote za Western countries ni vita
etc

Yaani haya majinga yanadhani TZ yana exist yenyewe tu...hayajui nchi hii ina stakeholders ni lazima u-negotiate nao wote kila mtu ana stake yake hata kama ni mkulima wa jembe la mkono ni stakeholder nae mezani ana kiti!

These people are so dilusional kabisa!
Hapo kwenye anayetoa maoni tofauti na wao na aswa kwa yale wasiopenda kuyasikia ndo kuna vita kubwa kuliko.
 
Majizi yameanza kuchoma utambi na huku. Mlimuua Mfugale, mmemwondoa aliyekuwa waziri wa ujenzi, haitoshi mkamwondoa Kalemani kwa tricks na sasa Kadogosa. Wenye kuproject mbali tunaona na tunajua objectives zenu ila yana mwisho. Mkiona haitoshi na PM mtoaeni, mtoeni VP pia na muwatoe Kabudi, Jafo, Ndalichako na CDF make wote ni mabaki ya jpm. Wekeni mafisadi wenu na riz1 mpeni uwaziri kamili ..
 
Kuna s

Kuna sheria ya Single sourcing, unaweza mpa kazi kandarasi mmoja na sheria i inakulinda.

Hao wachina wasipewe kitu ni wezi na wana mafisadi nyuma yao wanataka kupiga trillions hapo. So Chinese companies zisipewe kabisa kitu Yapi wako vizuri na gharama nafuu sana kwa viwango vya kimataifa.
Huko Kenya magazeti yanaanza kuleta taharuki kuwa Wachina wanataka kuchukua bandari ya Mombasa eti kwa kuwa serikali ya KQ umeshinda kulipa madeni ikiwemo ujenzi wa SGR. Kimsingi, Wachina wa leo sio wale wajamaa wa Mao waliojenga Tazara. Kuwa macho ni muhimu vinginevyo kuingizwa kingi itakuwa rahisi kama kumsukuma mlevi na taifa itabebeshwa gunia la misumari ya madini.
 
Ni jambo jema sana PPRA wamesaidia serikali kuokoa mabilioni ya dola Ila Muhimu kuzingatia huyo mkandarasi mchina anaejenga kwa gharama nafuu ajenge kwa Ubora ule ule ulio Katika mkataba na kukitokea maharibifu yoyote kabla ya muda maalumu kuisha mkandarasi anapaswa kurekebisha kwa gharama zake mwenyewe

Pengine hao waturuki wanajenga kwa gharama kubwa Lakini viwango vinakuwa bora kuliko wachina
Kuna wakati wakandarasi wanatoa gharama za chini ili wapate tenda Lakini kazi inakuwa ya kiwango duni hata umaliziaji unakuwa shida
Kadogosa is part and parcel of Sukuma Gang. Ni masalia ya Mwendazake he must GO now. It's over!
 
Jamaa anazo kichwani safi sana

Mtoa mada kama kapuliziwa shekeli na mla nyoka maana ajui hata maana ya single Source😀
Mturuki ni bora akapewa hicho kipande maana kazi yake tumeiona Dar-Singida ni ya kiwango na sio mchoyo wa ujuzi kama mla nyoka.

Ni busara Mturuki akapiga lot zote zilizobaki kuliko kumpa mchina
 
Nadhani Kadogosa yupo more informed kwenye cost za hiyo miradi kushinda PPRA, halafu waturuki awajengi reli tu, bali wanawapa uwezo na ma engineer wa kitanzania.

Tazama main train station ya Dar, Mturuki nadhani ametumika kama consultant tu lakini civil engineers wote wabongo, similarly ata yard zao zimejaa supervisors wakitanzania, usambazaji wa umeme engineers watanzania, vituo vya train vinavutia; yaani unaona kabisa mradi una value for money on quality na kwenye kuwajengea uwezo wa Tanzania.

Sio wachina miradi yao wanajazana wao, Tazama Daraja la Busisi kila Kiongozi akienda kutembelea mradi kwenye picha utaona wamejazana foreman’s na ma engineer wakichina tu, ata reli ya Mwaza-Isaka ni wachina tu.

Ebu angalia sasa reli ya waturuki viongozi wakienda wanakuta wabantu tu ndio wanaotoa ufafanuzi, na kwenye picha wamejaa wabantu mpaka raha. Kitu hiko hiko utakion ukienda kwenye bwawa la Nyerere ma engineer wengi ni wazawa.

Sio miradi ya kichina ni wachina watupu mpaka kichefuchefu wabaguzi kweli awatoi ujuzi kwa wazawa kabisa, wao kwa sababu ya kukomba kila kitu wanachukuta na awataki kuacha ujuzi kwa wenyeji.

I am sick of these Chinese very selfish.

As is it occurred to others asilimia kubwa ya watu wanaotetea matendo yenye minajili ya ufisadi ndio wamekuwa watetezi wa kubwa wa mama kwenye ili jukwaa.
Uko sahihi kabisa. Kwa nini kwenye mkataba tusiweke kipengele kinachowataka wachina washirikishe wazawa kama wanavyofanya waturuki na wamisri kwenye bwawa la Nyerere. Tusipotaka kutetea maslahi yetu hakuna mjomba dunia ya leo.
 
Habari wadau..

Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4.

Kwamba bwana Kadogosa hataki ushindani ufanyike badala yake anataka tender apewe Mturuki yaani kampuni ya Yapi Merkez bila kishindanishwa.

Sababu anazozitoa ni za kipuuzi na zinalengo la kumbeba huyo mkandarasi wake.

Kwa upande wa PPRA wao wanataka sheria ifuate mkondowake kwa kuweka ushindani Ili kupata thamani halisi ya fedha.

Wakaenda mbali zaidi kwa kutoa mfano kwamba kipande cha Isaka Mwanza baada ya ushindani mkandarasi aliyepatokana kampuni ya Kichina ili tender bei ya chini kuliko Yapi Merkez na tofauti ya bei baina yao ilikuwa ni zaidi ya Tilioni 1 na hivyo Serikali kuokoa pesa endapo wangepewa Yapi Merkez bila ushindani.

Sasa inashangaza bwana Kadogosa haoni hili ila anataka bei zake walizokubaliana na Yapi Merkez wapewe bila ushindani Ili apate chake.

Serikali fukizeni huyu mtu hawezi tena kuaminika na huenda anatupiga hata kwenye bei za Lots zilizotangulia.Hawa ndio Mwendazake alikuwa anawaita wazalendo wake,ni hatari sana hii.

Karibuni kwa mjadala. 👇

View attachment 1951944

View attachment 1951945

View attachment 1951946

View attachment 1951947
Yaani hawa jamaa wametupiga sana
 
Back
Top Bottom