huyo mroho wa madaraka.. Pokeeni zigo hilo lenye wivu wa madaraka.
Ila mwisho wa siku atarudi CCM.
Gogo wivu,
fanya haraka uje huku kabla majimbo yoote hayajaisha. Huyu si mroho wa madaraka ni mtu aliyeona mbali. 2015 sio mbali, siku hazigandi bali zinayeyuka tu. Utastukia kura hiyooo nawe utakuwa upande wa wale walioambiwa na M/kiti wao kuwa wajiandae kisaikolojia. Wale ambao M/kiti wao aliwaombea huruma kuwa CDM ikichukua madaraka, wawasamehe makosa yao bure ka Mzee Madiba. Tamu hiyo.
Namuunga mkono M/kiti wako, nami namwomba Mh. Mbowe na Dr. Slaa wasirudishe baya kwa baya. Kariib Kamanda umevua gamba vaa Gwanda. Kwetu pazuuuri, nimesha pakumbuka...