mimi sio mwanachama wa CCM ila nalaan na kupinga wanaomuita Dkt Bujari kada wa CCM. na ntaweka sababu
1) huyu jamaa ameanza kufahamika kwenye siasa za Ngara baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge hiyo inaleta picha kwamba alichofuata CCCM ni UBUNGE tu nashukuru watu wa Ngara tulimuelewa
2) chaguzi za ndan ya chama jamaa hajawahi kuchangia chochote na uchaguzi uliopita jamaa alipoombwa mchango alitoa maneno ya kejeli
3) ni mkabila, jamaa alianzisha DIVIDE AND RULE kwa kutaka kutugawa wana Ngara. Hapa Mkazi wa Ngara ataelewa tofauti kdogo iliyopo baina ya Bugufi na Bushubi jamaa alieendeleza kampeni za tumchague WAKWETU
4) baada tu yakupigwa chini kwenye uchaguzi wa ndani ya chama magari yake yalianza kupeperusha bendera za CHADEMA nalazimka kuamini hata huko ndicho anachofuata
kwa taarifa zaid nasikia amekuwa mchungaji na anampango wa kuanzisha kanisa lake pale Rulenge,
Kweli CDM mmepata jembe