MOORIINGEE
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 381
- 190
Waswahili waliumiza vichwa sana kwa misemo yao.....
Mfano:ukitaka kujua tabia ya mtu mtupie furushi la hela
Nzi hawezi kuja kwako bila sababu
Lisemwalo lipo kama halipo laja
Jambo haliwi jambo mpaka mwenye Jambo amaue kujamba
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
Akili za kuambiwa changanya na za kwako
Shimo haliwi shimo mpaka utumbukie ndipo utakapo jua hilo ni shimo
Misemo hii ina maana kubwa sana kwa wale welevu na wadadisi
"washamba nyie wenye mashamba ya bangi na mirungi"
ala moja haikai panga mbili, pimba lisilo akili waswahil husema ni gogo, taja magogo yote la mbuyu si la mvule, isiyokuwashahujairamba....