Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Mkuu ni vurugu tupu huyu anazeeka kwa kuvaa viatu vikubwa kumzidi na yule ana kula bata kuliko watu wote duniani.Naibu ananona wakati mwenzake anazidi kuzeeka
Mkuu ni vurugu tupu huyu anazeeka kwa kuvaa viatu vikubwa kumzidi na yule ana kula bata kuliko watu wote duniani.Naibu ananona wakati mwenzake anazidi kuzeeka
Sisi wananchi wa Afrika tumebanwa kila kona halafu hivi vyama kama CCM navyo na vyenyewe vinatubana zaidi.Lakini kwa upande mwingine hawa mabeberu ndio walileta,Afrika, hizi dini tunazopigia magoti.Ukidadavua zaidi.
Kwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
Umemuelewa vibaya! Kasema hata piga goti kwa beberu na siyo kanisani
Asante kwa kuniongezea siku za kuishi sasa ngoja nichekeMkuu ni vurugu tupu huyu anazeeka kwa kuvaa viatu vikubwa kumzidi na yule ana kula bata kuliko watu wote duniani.
Kwa hiyo ndio inaitwa Chagulaga hiyo staili au.Mkuu ni vurugu tupu huyu anazeeka kwa kuvaa viatu vikubwa kumzidi na yule ana kula bata kuliko watu wote duniani.
Acha tu mkuu ile kauli ya Zito nchi tumewaachia wa waswaka ng’ombeKwa hiyo ndio inaitwa Chagulaga hiyo staili au.
Naona Mhe Zitto aliiona hiyo Catalyst hahaaAcha tu mkuu ile kauli ya Zito nchi tumewaachia wa waswaka ng’ombe
We are ze catalyst more than Jesus himself. AmenNaona Mhe Zitto aliiona hiyo Catalyst hahaa
Ehee na Daudi anabebwa na nini?Kabudi na Daudi wana shindana kwa umuhimu mbele ya mfalme. Kabudi anabebwa na shule yake kwa sasa anaaminiwa kuliko wazirir yeyote yule.
Nisifuni nishangilieni nipieni makofi amaa kweli Tanzania inapitia mgogoro mkubwa wa Kiuongozi kwa mara ya kwanza tokea Taifa hi liasisiwe.We are ze catalyst more than Jesus himself. Amen
Huyo January anasubiriwa aingie kwenye 18 wamfanye kama alivyofanywa Mwigulu Nchemba na Nape NnauyeWakati Waziri Mchapa kazi ni January Makamba
Mkuu hata mimi sielewi anabebwa na nini wengine wanasema msambwanda, wengine wanadai ndiye mkuu wa wasiojulikana na kuna wanaosema ndiye mkuu wa idara ya kamati ya ufundi.Ehee na Daudi anabebwa na nini?
Nadhani akiwekwa wa kanda pendwa labda atapumua.Huyo January anasubiriwa aingie kwenye 18 wamfanye kama alivyofanywa Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye
Kumbe kanisa ni za kina nani?.Umemuelewa vibaya! Kasema hata piga goti kwa beberu na siyo kanisani
Kijana ana Siri nzitoMkuu hata mimi sielewi anabebwa na nini wengine wanasema msambwanda, wengine wanadai ndiye mkuu wa wasiojulikana na kuna wanaosema ndiye mkuu wa idara ya kamati ya ufundi.
Si kuwa Nina wa outsmart Wabunge na wateuliwa waliotoka mkoa wa Dodoma Ila ikiacha Mh Mavunde na Simbachawene ni kama vile waliobakia wakati mwingine ni kama vile vichwa vyao kuna wakati vinashindwa kuchuja au karuhusu nini vinywa vyao vitamke na nini visiseme... matokeo yake hisia na mihemko huzidi/ hutawala zaidi kuliko busara ya kichwa au hata elimu yao... mf mwenye jengo wake.. kibajaji, huyu Mh Mwalimu mbobezi wa sheria nkGoebbels alikuwa na akili huyu propaganda zake hata mtu wa mashambani huko hadanganyiki. Anatoa tu mimacho
Mkuu hiyo siri inayo mpa visa ya kula bata kuliko watu wote duniani si utani.Kijana ana Siri nzito
Wameanza na gazeti lao Tanzanite.Huyo January anasubiriwa aingie kwenye 18 wamfanye kama alivyofanywa Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye
hapa tulipo hapatoshi mamaNgoja tuone tutafika wapi
unataka kwenda mpaka wapi