Kwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
Kujitegemea wakati huwezi kutengeneza ata sindano upuzi mwingine
Kwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
ASANTE MKUU, NIMEREKEBISHA!HOW AFRICANS UNDERDEVELOPE AFRICA nadhani ndio sahihi
Dah!Kalamaganda ana toa macho huyo
Shida kubwa saana ni pale unapotaka mtu mwingine afanye au aseme yale tu unayotaka kusikia! Na akisema usiyotaka kuyasikia unaanza kumwita majina ya kumdhalilisha bila kujua unajidhalilisha mwenyewe! Kabudi ameongea kulingana na maoni yake yy! Na hata mie namuunga mkono! Mtangazaji aliuliza maswali akiwa tayari na mtazamo wake na akitaka Prof. anye amfuate mtazamo wake!Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.
tuishafika mkuuNgoja tuone tutafika wapi
Tuseme wewe kila siku unamuonea mkeo, hutaki ushauri wowote, umepiga marufuku mijadala yoyote, familia yote inaishi kwa hofu na woga ulivyo na hasira, huku matatizo yakizidi hadi wanao hawawezi tena kwenda shule, sawa? Anakuja jirani yako anayejiweza kuliko wewe anakuambia yupo tayari kukusaidia lakini kama tu utakubali kubadili tabia yako na familia yako iweze kuishi kwa amani, je utang'anga'na kwa kudai asikuingilie?Mtu hawezi kuja nyumbani kwako akasema ili nikusaidie hii shida yako ngoja nmgonge mkeo kwanza! Alafu eti unakubali.
Ameanza kukanusha maneno yake mwenyewe. Inaonyesha alivyo muongo mkubwa. JPM kumwita pumbavu ni stahili yake.Shida kubwa saana ni pale unapotaka mtu mwingine afanye au aseme yale tu unayotaka kusikia! Na akisema usiyotaka kuyasikia unaanza kumwita majina ya kumdhalilisha bila kujua unajidhalilisha mwenyewe! Kabudi ameongea kulingana na maoni yake yy! Na hata mie namuunga mkono! Mtangazaji aliuliza maswali akiwa tayari na mtazamo wake na akitaka Prof. anye amfuate mtazamo wake!
Ni mtoto wa mchungajiMsomi wako anasema kamwe hawezi kupiga goti mbona kanisani anapiga lote.
Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.
Goebbels alikuwa na akili huyu propaganda zake hata mtu wa mashambani huko hadanganyiki. Anatoa tu mimacho
Naona hawa Maprofesa wakishasoma wote wanamuiga Profesa Ndumilakuwili wa Sani ndio anakuwa mfano wao.
Kwa stiglers goji na reli si zinajengwa kwa mkopo? Na nyie mlitoa tigo ndio mkapewa mkopo?
Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.
Some crap seems to never fade!Nyerere aliumbuka pale alipowaomba soviet cuba na China hela na vifaa vya kivita kupambana na IDD amini. Walimtolea nje wakamwambia hakuna cha Bure leta hela tukupe mzigo.
Ndo kurudi Analia na propaganda, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunayo"
Kiukweli ile vita tulishinda kipropaganda zaidi, IDD alikuwa vizuri