imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,405
Anatia huruma huyu msomi wa ColdWarKabudi anahani bado kuna Non Aligned Movement (NAM). That era is no more!
Anatia huruma huyu msomi wa ColdWarKabudi anahani bado kuna Non Aligned Movement (NAM). That era is no more!
BadoHivi bado hajatekwa hadi muda huu ?
Utajitegemea kwa kuuza mat****ko ya akina Bashite?Kwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
So unataka Maguzu naye atuchinje kama Hitler?Na Prescot Bush ni nani kama Magufuli ni Adolf Hitler na Kabudi ni Goebel? Kwa maana Adolf Hitler alifadhiliwa na Familia ya George Bush President wa USA, isitoshe wako wapi nazi scientists wetu kwa maana Adolf Hitler's scientists ndo baba wa nuclear weapon, space science yote, bila ya Nazi Germany hakuna NASA wala Sputnik, hakuna rocket za kwenda space, hata Americanna Soviet Union military superiority imejengwa na nazi scientists.
Mkuu inawezekana walishaanza kuuza hizo tigo hawaaminiki hawaKwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
Nyie subirini 2090 mtakapo Shika nchi ndio mtauza hizo tigo zenu kwa wazungu ili mpewe misaadaUtajitegemea kwa kuuza mat****ko ya akina Bashite?
2020 tunachukua dola kama kumsukuma mlevi.Nyie subirini 2090 mtakapo Shika nchi ndio mtauza hizo tigo zenu kwa wazungu ili mpewe misaada
Kwanini hatutaki kutumia akili hata kidogoKwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
Mtu very reactionary namna hiyo halafu eti ndio kiongozi wa diplomasia wa serikali?
Mtu ambae anatakiwa awe mwanadiplomasia namba moja yeye ndio instigator namba moja!
Na yale macho,na ile misauti kama anagombeza vitoto vya kindergarten vile!
Ndio anaenda nje ya nchi kuongea kwa staili ile kweli?
Aisee tumeisha!
Membe na Mahiga ndio waliiweza hiyo kazi ila huyu mkodoa macho analipeleka taifa kuzimu.Ameshindwa hiyo kazi kabla hata hajaianza. Academic arrogance imetamslaki!
Hapana mzee...
Hata stori nzima huijui,hatuijui...
Mzungu kaja lini kukwambia anataka kumgonga mkeo?
Shida ni kua wazungu walitaka demokrasia iwepo,jiwe kakataaa..hiyo ndio shida!
Kuhusu ugomvi wa mikataba ya madini wanapambana huko mahakamani,na mshindi atajulikana!
Unakurupuka tu Kabudi kakukurupusha na stori za uongo una-side na serikali!
\Serikali imeua demokrasia,haitaki mtu wa kumwambia irudishe,sasa wamemwambia wao hawataki...
Siwezi kua upande wa serikali ya kiduwanzi inayoua demokrasia nchiniii
Siwezi!
Membe na Mahiga ndio waliiweza hiyo kazi ila huyu mkodoa macho analipeleka taifa kuzimu.
Nonsense thread ever!Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.
Angalia bashite kwa nyuma utaelewa zaidiKwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
Sasa kwanini mnalilia Kabudi alipo sema hatuko tayari kuuza utu wetu sababu ya misaada? Ina maana nyie mnapenda sana tu endelee kupewa misaada yenye masharti hata ya kutoa tigo?
Ni mmoja wa wateja wa Milembe waliopo mitaani. Matokeo yake tunapata taabu.Huyu ni mabaki ya wasomi waliosoma vitabu vya socialism
Akiwa waziri wa sheria ametunga sheria mbaya kuliko zote tangu Uhuru na sheria hizo zimetesa sana watanzania magerezani na uraiani
Kwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?
Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
I don't even understand your rubbish broken english! You asshole!!What should one should expect from a nincompoop like you?