Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

Kwa nini usiwepo?
Ni mapenzi ya Mungu, heri yako unaye jihakikishia kuwa utakuwepo na mtakuwa mko madarakani,Mimi kila dk,saa,siku ,wiki hadi mwaka na Mshukuru Mungu maana yeye ndo muweza wa yote.Utukufu ni kwake.
 
Nyerere aliumbuka pale alipowaomba soviet cuba na China hela na vifaa vya kivita kupambana na IDD amini. Walimtolea nje wakamwambia hakuna cha Bure leta hela tukupe mzigo.

Ndo kurudi Analia na propaganda, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunayo"

Kiukweli ile vita tulishinda kipropaganda zaidi, IDD alikuwa vizuri
Nyerere yupi huyo? Mbona hao walitoa misaada?
 
Ni mapenzi ya Mungu, heri yako unaye jihakikishia kuwa utakuwepo na mtakuwa mko madarakani,Mimi kila dk,saa,siku ,wiki hadi mwaka na Mshukuru Mungu maana yeye ndo muweza wa yote.Utukufu ni kwake.
Yote mapenzi ya Mungu watafanya watakao kuwepo
 
Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.
Goebbeles alikuwa smart sana upstairs na hata propaganda zake zilikuwa tishio mpaka leo.
 
Goebbeles alikuwa smart sana upstairs na hata propaganda zake zilikuwa tishio mpaka leo.
Sasa huyu wa kwetu ni kiazi kabisa. Anatumia nguvu nyingi kuongea utumbo. Mimacho, povu na mimate kwa wingi.
 
Mtu hawezi kuja nyumbani kwako akasema ili nikusaidie hii shida yako ngoja nmgonge mkeo kwanza! Alafu eti unakubali.

Niko pamoja na Kabudi na selikali yangu, kama wanataka kutusaidia walete hiyo misaada bila masharti ya lazima mfanye hivi mara vile, hapo uhuru wako uko wapi?

Lazima tuwadishie hata kama tutapata shida lkn tutapata akili ya kutafuta vyetu.
Hivi mkuu nyie mnaokula keki ya taifa huwa "mnapata shida"? Wanaopata shida si ni hawa wala vumbi?

Masharti ya mikopo yaliyotolewa ni kufuta sheria kandamizi ya takwimu, sheria ya vyama vya siasa, na kuondoa zuio la watoto wa kike waliopata mimba kuendelea shule!

Masharti yote yaliyotolewa yana tija maana yanalenga kuondoa udikteta-koko na sheria za kibabaishaji!

Wewe hayo yote hutaki....eti??
 
Back
Top Bottom