Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

I would like my carcass to be burned to pure ashes.
Total burn.
Nilimwambia Mke wangu akadhani utani kutoka ndani kabisa ya kinachonitawala natamani sana mwili wangu uteketezwe kabisa
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]yeah I understand
 
Chato itakuwa kama Dubai kila kitu kitakuwepo hatutaki makaburi yataziba masterplan ya jiji. KARIBUNI CHATO
Ni wapi humo ulikokua unaoka watu? Hapa chato hii tec ya kuchoma na gas ipo kweli kwenye mikoa yetu au bado haijafika?
 
Kuna kiongozi mmoja akifa ni vema akazikwa kwa namna hii ili kusiwe na uwezekano wa kufufuka
 
Hapana kuna gharama... Ile furnace na yale makaburi ni miradi na uwekezaji wa watu ila kuna familia wao hupenda kuondoka na majivu yao ili wakayamwage mtoni ama wakayahifadhi nyumbani... Hapa gharama zinapungua
Hayo makaburi ni kwa muda hlf wanapisha wengine ama inakuwaje? Vyumba hvyo havijai majagi ya majivu au vinajengwa vipya kila vikijaa?
 
Mshana Jr kwa Tz ni maneo gani hii huduma ipo, na gharama zake zipoje?.. mwenyewe ningependa fanyiwa hiki!..
Watu tunafukiana wazima bongo!.
 
Brother hivi Kuna kitu kinakutisha dunia hii kweli ???... Maana experience zako ni mtihani
 
Mshana Jr kwa Tz ni maneo gani hii huduma ipo, na gharama zake zipoje?.. mwenyewe ningependa fanyiwa hiki!..
Watu tunafukiana wazima bongo!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom