Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

Mansoni Sir. Chande alipofariki mwiliwe ulichomwa kama maziko...

Hivi walitumia kuni au baniko la gesi?
 
Hivi ukifungua sehemu ya kuweka maiti(mochwari)private unaweza ruhusiwa?
Taratibu zikoje, naiona sana hiyo fursa
Unaweza mtu ukapiga Hela sana

Ova
Warangi mnasifika kwa mambo yetu yale.

Kweli utapiga hela maana utakuwa kama umemiliki duka vile
 
Hivi ukifungua sehemu ya kuweka maiti(mochwari)private unaweza ruhusiwa?
Taratibu zikoje, naiona sana hiyo fursa
Unaweza mtu ukapiga Hela sana

Ova
Ni biashara kama ile ya majeneza tu.. Inaruhusiwa
 
Mmh... Niliwahi kusikia pia lakini sina ithibati juu ya hili
Carbon itokanayo na kuchoma mabaki ya mifupa ya wanyama huingizwa ktk maabara maalum, hufanyiwa mgandamizo (pressure) ya kiwango maalum na joto kiwango flani kwa maalum kisha hupatikana almasi(Diamond) nzuri tu japo haifikii ubora wa ile ya asili.
 
[emoji15][emoji15][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nilisubiri kupambazuke sikutaka kupost usiku
Matanuri yapo ya kuni, umeme, makaa na gesi pia.. Kuna matanuri ambayo ni manually operated na kuna automatic... Ya kisasa zaidi... Mimi mengi nilitumia ya kisasa View attachment 1158615View attachment 1158616

Ilikuwa ni Ajira au kujotelea? Kwa hapa Tanzania wengi wanaochoma ni Baniani, ni dini yako au imekuwaje umeingia that much kwenye huo mfumo?
 
Ilikuwa ni Ajira au kujotelea? Kwa hapa Tanzania wengi wanaochoma ni Baniani, ni dini yako au imekuwaje umeingia that much kwenye huo mfumo?
Nilikuwa kasisi wa kibudha hivyo huduma ilikuwa bure na kilichopatikana tulikipeleka kwenye sinagogi letu
 
Watu wengi siyo waoga ila wanapenda uoga ndiyo maana wanatia hofu au kutia hofu wenzao...
Ukweli ni kwamba hakuna cha kuogopa Duniani labda maeneo mengine ambayo hatuna maelezo yake kwa usahihi.
Kuna aina ya kuzika kwa kula mzoga mbona hatuisemi wakati miili yetu ni makaburi ya kuku,ngombe,wadudu kama senene,mende na panzi?mbona hayo hatuyasemi.
Tunajifunza kula carcasses siyo kwa kwanza kula miili ya watu ila kwa kupenda sana kula miili ya wanyama ni kama kujifunza kuendesha gari kwa kuendesha upepo na kuunguruma mwenyewe kama gari ili kutunza matamanio na uwezo wa akili kuumba tukio halisi.
Jamii ya watu inatabia za hatari na zinazoibua taharuki na kuwaogofya wengine kuliko jamii za viumbe wengine huku ikijificha kwenye kigezo cha ustaarabu.
Woga ni zao la utamaduni tunaojifunza na siyo asili tuliyoumbiwa,waoga na wanowatia wenzao hofu ni zao la jamii kwa sababu wanayoyafundisha yametokana na utamaduni wa jamii.
Ukitakakuamini jifunze kwa mtoto mdogo ambaye hajachafuliwa akili yake na utamaduni wa jamii utastaajabu sana.
 
Somo zuri sana, kila kazi ina process hadi kufikia level au uzoefu fulani, mkuu wewe ulianza moja kwa moja kuchoma watu au ulianza kuhudumu sehemu nyingine mfano mortuary
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom