Hv mkuu ni kwann kichwa huwa kinatoa kishindo kikiungua?Nje ya Tanzania kaka
Baadhi ya ndugu hupenda mpenda wao achomwe mwili bila chochote kingine ili wapate jivu halisi
Wengine hupenda achomwe na kila kitu alichovishwa.. Ukikutana na mchomaji kichwa maji asiye mwaminifu huiba vitu vya thamani View attachment 1158618
Nami natamani nije nichomwe tu mambo ya kulala kaburini peke yako ni noma.
mkuu vipi harufu ya mshikaki ina mashiko kama hii ya mbuzi na ng'ombe au yenyewe imekaa kikuzimu kuzimu[emoji16][emoji16].Nje ya Tanzania kaka
kumbe mifupa huwa inagoma[emoji22][emoji22]Baadhi ya ndugu hupenda mpenda wao achomwe mwili bila chochote kingine ili wapate jivu halisi
Wengine hupenda achomwe na kila kitu alichovishwa.. Ukikutana na mchomaji kichwa maji asiye mwaminifu huiba vitu vya thamani View attachment 1158618