Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,968
Sasa wana JF tunaotaka kuzikwa kwa njia hii tukifa tujiorodheshe hapa. Mimi namba moja. Anayefuata...Daah.Ila ni utaratibu unaookoa sehemu za makaburi ya ardhini.
Sasa wana JF tunaotaka kuzikwa kwa njia hii tukifa tujiorodheshe hapa. Mimi namba moja. Anayefuata...Daah.Ila ni utaratibu unaookoa sehemu za makaburi ya ardhini.
Karibu mkuu .Mimi nilimshuhudia mke wangu wa Kwanza akichomwa moto mkuu ,sitakaa nisahau maisha yangu yote , funeral home.ndio wanashughulikia Kila kitu ,Ni kukabidhiwa tuu Kile kibox baada ya week moja ,ukitaka kukiweka darini au kule kwenye vile visanduku vya ukutani powa tu.ILA WA KWANGU ALISEMA TUYATUPE ZIWANI USIKU ,NAKUMBUKA NILIKODISHA BOAT KUYATUPA HAYO MAJIVU MKUU .Asante sana kwa video
Sio hapa bongo lakini Ni jimbo linaitwa Arkansas .Karibu mkuu .Mimi nilimshuhudia mke wangu wa Kwanza akichomwa moto mkuu ,sitakaa nisahau maisha yangu yote , funeral home.ndio wanashughulikia Kila kitu ,Ni kukabidhiwa tuu Kile kibox baada ya week moja ,ukitaka kukiweka darini au kule kwenye vile visanduku vya ukutani powa tu.ILA WA KWANGU ALISEMA TUYATUPE ZIWANI USIKU ,NAKUMBUKA NILIKODISHA BOAT KUYATUPA HAYO MAJIVU MKUU .
nitarejea kwako na maswali mengi kukipambazuka... So sorry for the total loss of your loved oneKaribu mkuu .Mimi nilimshuhudia mke wangu wa Kwanza akichomwa moto mkuu ,sitakaa nisahau maisha yangu yote , funeral home.ndio wanashughulikia Kila kitu ,Ni kukabidhiwa tuu Kile kibox baada ya week moja ,ukitaka kukiweka darini au kule kwenye vile visanduku vya ukutani powa tu.ILA WA KWANGU ALISEMA TUYATUPE ZIWANI USIKU ,NAKUMBUKA NILIKODISHA BOAT KUYATUPA HAYO MAJIVU MKUU .
Anytime Broo ask any questions about cremation nitakujibu kama nilivyoona mkuunitarejea kwako na maswali mengi kukipambazuka... So sorry for the total loss of your loved one
Acha kujidanganya ndugu. roho ikitoka sio mwisho wa maisha yako. Kuna maisha baada ya kufa. Tena unayaanza pale pale ulipo lala ukiwa umekufa.
Yote yana yofanyika unayasikia. na kama ni mtu mbaya utapata adhabu hapo hapo ulipo. Watakusikia watoto wachanga na wanyama pekee kelele zako.
Nadhani mpaka utakapokuwa unakufa tayari huduma hii itakuwa imeanza.. Hivyo relaxNaitaji hii huduma ntaipataje ? Kwani napenda sana mwili wangu uchomwe moto.
Kisheria imekaaje? ili nijiandae kupata hii huduma nchini kwetu Tanzania ?
Morogoro pale makaburi ya Kola,Kuna sehemu ya makaburi ya wahindi.Nasikia enzi hizo,miili ya wahindi ilikuwa ikichomewa pale.Wakazi wa maeneo ya Kola wakalalamika kuhusu harufu ya 'mishkaki' ya binadamu.Njia nzuri sana hii, lakini kwa wale wanaochomea sehemu ya wazi huwa hawasikii harufu ya mishikaki?
Mkuu hebu utuhakikiahie usemi wako !