Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

Acha kujidanganya ndugu. roho ikitoka sio mwisho wa maisha yako. Kuna maisha baada ya kufa. Tena unayaanza pale pale ulipo lala ukiwa umekufa.
Yote yana yofanyika unayasikia. na kama ni mtu mbaya utapata adhabu hapo hapo ulipo. Watakusikia watoto wachanga na wanyama pekee kelele zako.
Hahahahhaha nimecheka sana juuu ya hii comment mzee izo ni imagination tu hamna ukwel wwote juu ya hili ukifa umekufa 2 amna cha kuskia wala cha nini mzee......nan aliend akarud akakuambia ayo
 
Kwa maana roho iliyobaki ndiyo itaenda motoni?
Subdivision ama subsidiary ya ufahamu ndio hutengeneza kitu chenye mahusiano ya mwili ulioharibika ndo kitasimama kwenye hukumu... Roho ni nishati huru
 
Mimi huwa nawaza tu, sijui haya mawazo huwa nayatoa wapi, eti huwa nawaza kwa mfano mtu uzikwe harafu gafla upate fahamu ukiwa ndani ya jeneza, hilo joto lake sijui litakuwaje, nazani utakufa kifo kibaya zaidi[emoji23][emoji23]
Kifo hakina rivasi
 
Kwa imani yako bro. Ila kwa imani yangu ya kiislam. Tutafufuliwa na siku ya kiama tutaakwenda kulipwa pepo au moto
Ukishakufa umekufa... Hakuna marudio... Hakuna rivasi... Roho haiwezi tena kuvaa mwili uharibikao kwa mara ya pili... Sana kinachoweza kufanyika ni transformation kupitia imani za reincarnation... Yani roho ileile ila katika mwili jumba mpya
 
Kwa imani yako bro. Ila kwa imani yangu ya kiislam. Tutafufuliwa na siku ya kiama tutaakwenda kulipwa pepo au moto
Aamen ni kweli kabisa niliongelea kwa imani yangu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Subdivision ama subsidiary ya ufahamu ndio hutengeneza kitu chenye mahusiano ya mwili ulioharibika ndo kitasimama kwenye hukumu... Roho ni nishati huru
Mwili, roho na sasa subsidiary ya ufahamu.
The first two are obvious. Hiyo nyingine ni mtihani.
 
Mkuu hii style ipo Tz hasa kwa baadhi wachina na baadhi ya jamii za kihindi hasahasa wabanian,ingawa hawatumii gas wanatumia kuni na petrol. Mimi hii nmeishuhudia mara kadhaa Bukoba sehemu moja ya Migela,,,,yaani limetengwa eneo maalum la kuchoma watu na maboma ambayo ndo kama makaburi. Wachina wao walikuwa wanatengeneza barabara enzi hizo huko huko Bukoba, mwenzao mmoja akafariki,, walimpiga moto na kusafirisha majivu. Ni hatari sana hii kitu
Tanzania na sehemu kubwa ya Afrika bado sana
 
Ebu soma Aya ya 3.
Hahahahhaha nimecheka sana juuu ya hii comment mzee izo ni imagination tu hamna ukwel wwote juu ya hili ukifa umekufa 2 amna cha kuskia wala cha nini mzee......nan aliend akarud akakuambia ayo
Screenshot_2019-07-21-11-09-33.jpeg
 
Hupati ndoto za ajabu usiku mkuu, maana kazi ngumu hio,Je bado unafanya hio kazi hapa Tz au upo tayari ukipewa
 
Hupati ndoto za ajabu usiku mkuu, maana kazi ngumu hio,Je bado unafanya hio kazi hapa Tz au upo tayari ukipewa
Haina shida tena nalala fofofo na hata nikimaliza kuchoma ukaniwekea mshkaki au supu nagonga kama kawa....
Ikitokea tena poa tu mbona? Lakini tanuru liwe la gesi
 
Kuna jamaa nimepanda nae gari saiv nikitoka kwa Morombo (Arusha) kwenda mjini kati nimeona anaufatilia Sana huu uzi mana nilikuwa nae siti moja kwenye daladala ila akashukia Kona ya Mbauda

Respect sana kwako Mshana Jr. Kwa madini hatari kama haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom