kiunzi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 514
- 369
Haaahahahaha!!! Mjingawewe kweli!kwani tumboni kwa mama yako uliingia vipi?
Hakikisha hoja yako.
Haaahahahaha!!! Mjingawewe kweli!kwani tumboni kwa mama yako uliingia vipi?
Ukishakufa umekufa... Hakun a marudio... Hakuna rivasi... Roho haiwezi tena kuvaa mwili uharibikao kwa mara ya pili... Sana kinachoweza kufanyika ni transformation kupitia imani za reincarnation... Yani roho ileile ila katika mwili jumba mpya
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji114][emoji114][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Sasa Mkuu mshana naomba namba yako, kuna deal nataka kukuungisha kuhusiana na jivu hilo baba....
Mkuu Mshana Jr naomba uni tagg kwenye mada ya *Reincarnation* kama kuna bandiko lake.
Mkuu Mshana Jr naomba uni tagg kwenye mada ya *Reincarnation* kama kuna bandiko lake.
[emoji15][emoji848][emoji123][emoji115][emoji120]Hii ni elimu nzuri sana. Rafiki yangu mzungu alikuwa ameoa mswahili alichoma mwili wa mkewe akatia majivu kwenye brief case akapanda ndege akaenda kuzika Sweden kwenye kikaburi kidogo alichonunua halmashauri ya jiji la Sweden. Safi kabisa ndio tunakoelekea haya mambo ya kuondoka na miili toka Dar hadi Bukoba yataisha siku moja.
Daahh, kumbe ni mchakato kweli kweli
Mansoni Sir. Chande alipofariki mwiliwe ulichomwa kama maziko...
Hivi walitumia kuni au baniko la gesi?
Sina hakika ila nadhani walimchoma pale kijitonyama
Kuhusu kuzaliwa upya ni uongo.... Sio kuzaliwa upya (rebirth) ni kuzaliwa mara ya pili (reincarnation)Duuh
Jamaa hawataki roho ije kuwatesa baadae kama ghost hivyo wanahakikisha unasepa.
Kuhusu kuzaliwa upya ni uongo
Hii huduma kwa mikoa ya nyanda za juu kusini haswa Mkoa wa Mbeya inapatikana kweli? nadhani kupunguza usumbufu mwingi kwa wanaobaki duniani nitahitaji kuitumia siku yangu ikiwadia.Wala huhitaji kwakuwa ikitoka mochwari ikifika inaagwa inabanikwa mchezo umekwisha