Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,830
- 5,291
Mshana Jr.Mimi nimeshiriki kikamilifu kwenye haya mazishi ya kuchoma moto... Na nimewabanika wengi tu kwenye miaka yangu sita ya huduma

Baphonet chini ya Budha ni ushahidi mwingine kwamba kuna Ushetani mwingi sana katika Ibada hiyoSina picha halisi za vile nilikuwa nafanya.. Way back late 90's... Lakini hapa kuna picha chache kwa hisani ya Google View attachment 1158611View attachment 1158612
Huyo naye ataenda motoni au moto wake uneishia hapo?Nimetimiza ahadi ya kuleta mada husika... Mada ya uzoefu wa kuchoma wafu moto hadi wateketee kabisa na kubaki majivu....
Kuchoma moto maiti ni aina mojawapo ya mazishi... Mazishi mengine ni
Kuzika ardhini
Kutupa mwili porini na kuwa chakula cha wanyama
Kuweka mwili juu ya kichanja maalum karibu na makazi ili ndege wapate kula
Kuweka mwili kwenye chumba maalum, kwenye majabali nknk (viongozi na watu maarufu)
Kutumbukiza mwili kwenye pipa la tindikali
Nk
Mimi nimeshiriki kikamilifu kwenye haya mazishi ya kuchoma moto... Na nimewabanika wengi tu kwenye miaka yangu sita ya huduma
Kinachofanyika ni hiki.... Taratibu zote hufuatwa toka mochwari mpaka kumremba marehemu tayari kwa kuagwa... Baada ya hapo kifuatacho ni kuelekea makaburini kwenye jengo la kuchomea
Mara nyingi mwili unapotolewa mochwari hupelekwa mpaka eneo la kuagia ukiwa mtupu bila nguo zaidi ya mashuka yale ya mochwari... Lakini ukiwa tayari umeshatengenezwa vema
Watu wa mochwari huukabidhi kwa ndugu na ndugu nao huukabidhi kwa wazikaji (mimi) hapa mwili unakuwa kwenye chumba maalum (inategemea na uwezo) wengine hufanyia nyumbani wengine ukumbini
Huko kwenye chumba maalum ndugu watakupa nguo na chochote cha kumvisha marehemu.. Ukishamaliza kumvisha na kumremba, mwili hutolewa na kuwekwa sehemu rasmi ya kuagiwa...
Shughuli ya kuagwa ikishaisha msafara wa kuelekea makaburini huanza... Huko makaburini kuna sehemu kuu tatu muhimu
Ukumbi wa ibada ya mwisho
Jiko la kuchomea mwili (tanuru la gesi)
Makaburi (yako kama vile vyumba ya mabox ya barua posta
Pale ukumbini jeneza huwekwa juu ya kichanja chenye sliders ambazo huenda moja kwa moja mpaka kwenye tanuru... Hapa ndugu wanaopenda kumuona marehemu kwa mara ya mwisho kabisa huruhusiwa kufanya hivyo
Baada ya hapo jeneza husukumwa na kuingia sehemu ambapo pametenganishwa na kitambaa cheupe... Hapa hubaki mchomaji (mimi) na watu wake... Ambapo kwa mahitaji ya ndugu mnamvua marehemu vitu vya thamani nk....
Wakati huu tanuri maalum la gesi lenye nyuzi joto zinazofikia 1000 linakuwa tayari limeshawashwa.... Kipindi hiki cha kumuandaa marehemu kwa ajili ya kumbutua ukumbi wote huwa kimya kabisa...
Shughuli fupi ya kumuandaa ikishaisha mchomaji (mimi sasa) hubonyeza switch maalum ambapo sliders huupeleka mwili kwenye tanuru kichwa kikiwa kimetangulia.. Kichwa kinapogusa tu mlango wa tanuru kuna taa nyekundu huwaka na king'ora cha ukiwa hulia kwa sauti ya chini kidogo
Basi hapo mwili utaingia wote na kile kimlango kujifunga kwa nyuma.... Dakika tano nyingi mnasikia kishindo cha kichwa kupasuka.... Hapo taa ile nyekundu huzima, king'ora hukoma na kinachosikika sasa ni sauti za vilio vya ndugu, jamaa na marafiki huku wakitawanyika...
Dakika kati ya kumi na ishirini baadae kutegemeana na setting za moto mwili unakuwa umeungua na kuteketea kabisa na kubaki jivu... Jivu hupita sehemu maalum ya kupozwa... Baada ya hapo hutiwa kwenye kisanduku maalum (kaburi) chenye
Jina kamili la marehemu
Tarehe ya kuzaliwa
Tarehe ya kufa
Neno la faraja
Kufikia hapa mazishi yanakuwa yamekamilika na ndugu kuoneshwa kaburi la ndugu yao lilipo (kuna namba za makaburi) kisha kukabidhiwa funguo za kaburi na nguo ama vitu vingine kama vipo
Ok kingine nasikia dhakari hata ichomwe vipi huwa haigeuki jivu hapa kuna ukweli?Tanzania na sehemu kubwa ya Afrika bado sana
Mshana ngoja nijichange ninunue hilo jiko la gesi halafu tupige kazi pamoja.Nje ya Tanzania kaka
Nimetimiza ahadi ya kuleta mada husika... Mada ya uzoefu wa kuchoma wafu moto hadi wateketee kabisa na kubaki majivu....
Kuchoma moto maiti ni aina mojawapo ya mazishi... Mazishi mengine ni
Kuzika ardhini
Kutupa mwili porini na kuwa chakula cha wanyama
Kuweka mwili juu ya kichanja maalum karibu na makazi ili ndege wapate kula
Kuweka mwili kwenye chumba maalum, kwenye majabali nknk (viongozi na watu maarufu)
Kutumbukiza mwili kwenye pipa la tindikali
Nk
Mimi nimeshiriki kikamilifu kwenye haya mazishi ya kuchoma moto... Na nimewabanika wengi tu kwenye miaka yangu sita ya huduma
Kinachofanyika ni hiki.... Taratibu zote hufuatwa toka mochwari mpaka kumremba marehemu tayari kwa kuagwa... Baada ya hapo kifuatacho ni kuelekea makaburini kwenye jengo la kuchomea
Mara nyingi mwili unapotolewa mochwari hupelekwa mpaka eneo la kuagia ukiwa mtupu bila nguo zaidi ya mashuka yale ya mochwari... Lakini ukiwa tayari umeshatengenezwa vema
Watu wa mochwari huukabidhi kwa ndugu na ndugu nao huukabidhi kwa wazikaji (mimi) hapa mwili unakuwa kwenye chumba maalum (inategemea na uwezo) wengine hufanyia nyumbani wengine ukumbini
Huko kwenye chumba maalum ndugu watakupa nguo na chochote cha kumvisha marehemu.. Ukishamaliza kumvisha na kumremba, mwili hutolewa na kuwekwa sehemu rasmi ya kuagiwa...
Shughuli ya kuagwa ikishaisha msafara wa kuelekea makaburini huanza... Huko makaburini kuna sehemu kuu tatu muhimu
Ukumbi wa ibada ya mwisho
Jiko la kuchomea mwili (tanuru la gesi)
Makaburi (yako kama vile vyumba ya mabox ya barua posta
Pale ukumbini jeneza huwekwa juu ya kichanja chenye sliders ambazo huenda moja kwa moja mpaka kwenye tanuru... Hapa ndugu wanaopenda kumuona marehemu kwa mara ya mwisho kabisa huruhusiwa kufanya hivyo
Baada ya hapo jeneza husukumwa na kuingia sehemu ambapo pametenganishwa na kitambaa cheupe... Hapa hubaki mchomaji (mimi) na watu wake... Ambapo kwa mahitaji ya ndugu mnamvua marehemu vitu vya thamani nk....
Wakati huu tanuri maalum la gesi lenye nyuzi joto zinazofikia 1000 linakuwa tayari limeshawashwa.... Kipindi hiki cha kumuandaa marehemu kwa ajili ya kumbutua ukumbi wote huwa kimya kabisa...
Shughuli fupi ya kumuandaa ikishaisha mchomaji (mimi sasa) hubonyeza switch maalum ambapo sliders huupeleka mwili kwenye tanuru kichwa kikiwa kimetangulia.. Kichwa kinapogusa tu mlango wa tanuru kuna taa nyekundu huwaka na king'ora cha ukiwa hulia kwa sauti ya chini kidogo
Basi hapo mwili utaingia wote na kile kimlango kujifunga kwa nyuma.... Dakika tano nyingi mnasikia kishindo cha kichwa kupasuka.... Hapo taa ile nyekundu huzima, king'ora hukoma na kinachosikika sasa ni sauti za vilio vya ndugu, jamaa na marafiki huku wakitawanyika...
Dakika kati ya kumi na ishirini baadae kutegemeana na setting za moto mwili unakuwa umeungua na kuteketea kabisa na kubaki jivu... Jivu hupita sehemu maalum ya kupozwa... Baada ya hapo hutiwa kwenye kisanduku maalum (kaburi) chenye
Jina kamili la marehemu
Tarehe ya kuzaliwa
Tarehe ya kufa
Neno la faraja
Kufikia hapa mazishi yanakuwa yamekamilika na ndugu kuoneshwa kaburi la ndugu yao lilipo (kuna namba za makaburi) kisha kukabidhiwa funguo za kaburi na nguo ama vitu vingine kama vipo
Una uhakika? Weka ushahidiAcha kujidanganya ndugu. roho ikitoka sio mwisho wa maisha yako. Kuna maisha baada ya kufa. Tena unayaanza pale pale ulipo lala ukiwa umekufa.
Yote yana yofanyika unayasikia. na kama ni mtu mbaya utapata adhabu hapo hapo ulipo. Watakusikia watoto wachanga na wanyama pekee kelele zako.
Kama ni mgeni na hana ndugu mwili wake huhitimishwa kwa kufuata kanuni rasmi za nchi husika... Na majivu yake huhifadhiwa vemaHivi huwa ni kwa binadamu tu au kwa viumbe vyote? Yaani nauliza kama mbwa au mifugo mingine inapokufa wanaichoma pia au wanafukia ardhini kama tufanyavyo sisi? Na pia kwa wageni wasiotambulika wanaofia huko kwao nao pia huchomwa au lah! Na wakichomwa (Wageni wasiokua raia) majivu yao hupelekwa wapi na ni nani hugharamia uchomwaji wao?
Ukishakufa umekufa... Hakuna marudio... Hakuna rivasi... Roho haiwezi tena kuvaa mwili uharibikao kwa mara ya pili... Sana kinachoweza kufanyika ni transformation kupitia imani za reincarnation... Yani roho ileile ila katika mwili jumba mpyahapo siku ya kiama atarudi vile vile kama alivyokuwa. Atakwenda kulipwa kwa mema yake au mabaya yake.
kwa ALLAH hakuna kitakachopotea.
Kuna kaharufu fulani amazing sana... Ukiwa mroho na kama una roho ngumu unaweza kutamani kula nyama ya mtumkuu vipi harufu ya mshikaki ina mashiko kama hii ya mbuzi na ng'ombe au yenyewe imekaa kikuzimu kuzimu[emoji16][emoji16].