Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,175
- 55,286
Hamna jipya.Kumbe mambo ni yale yale duh
So now ni mwendelezo 🤔
Hamna jipya.Kumbe mambo ni yale yale duh
So now ni mwendelezo 🤔
Ngoja nitarudi tena kusoma nioneHapana, nadhani aliyekuwa akipendwa zaidi anaweza kuwa labda Sulamitha ambaye alikuwa tofauti na wengine wote.
Hata mimi na imagine no 1000 ni kubwa ikiwa mmoja kuna watu anawachachafyaInasemekana jamaa alikuwa na nguvu za ajabu pia, lakini bado binafsi sikubaliani na suala la kuwaridhisha wanawake wote hao, Impossible!
Sawa kakaHamna jipya.
Pesa ni kama kilainishi cha kufanya Mapenzi yaende katika mstari mzuriYes Yes
Ndio kusema mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua okay 👍
Ahahahaha aiseee acha tuu ndo naanza maisha je siwezi pata godoro.ndguBaada ya kutoroka bagamoyo umeanza jeuri 😅
Post huo wimbo kwa faida ya members woote.Wakati mwingine najiuliza, mapenzi ya zamani yalikuwa na ladha tofauti au sisi ndiyo tumeharibu maana yake?
Angalia Suleiman na wimbo wake
Busu zake zinibusu...(Wimbo Ulio Bora 1:2)
Nimekupata yeye ambaye nafsi yangu yampenda (Wimbo Ulio Bora 3:4)
Mimi ni wa mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu (Wimbo Ulio Bora 6:3)
Ukisoma haya maneno unaona wazi kabisa, mapenzi yalikuwa ni hisia, si mashindano ya nani ana nini
Ila saivi ukileta maneno haya unakua kama unachekesha😅
Unaambiwa usilete maua leta sasampa lol 😆
Lakini leo kabla hata ya kuuliza mtu ana tabia gani, kwanza tunaangalia ana nini. Kabla ya kujua moyo wake ukoje, tunaangalia maisha yake yakoje
Mwanaume before huja m approach mwanamke anaangalia
Mbali na jigijigi nini kingine atapata kwake
Na kwa mwanamke ukitongozwa unaangalia kwanza utanufaika nini kwa huyo Mwanaume
Kuna msemo una sema bora kulia ukiwa kwenye dinga kuliko kulia huku unapuliza moto tena kuni mbichi😅😅 mafua tafrani
Lakini inaonekana zamani watu walipendana kwanza kisha mengine yakafata yenyewe
Hivi ni kweli 👇
Upendo una nguvu kama mauti... maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo.(Wimbo Ulio Bora 8:6-7)
Pesa ni muhimu, hilo halipingiki, lakini zinapochukua nafasi ya hisia, upendo unapoteza ile ladha yake ya kweli
Inawezekana mapenzi hayajaharibika… labda ni sisi tumeanza kuyapima kwa mizani isiyo sahihi
Usiku mwema guys
ShesRise_1 🤚
Hivi hii kuchaguliwa mchumba mbona ndoa zilidumu na ikiwa hawa kuchaguana wenyewe kama sasa ?Zamani pia ndoa zilikuwa zinapangwa na familia, watu wanatafutiwa mke au mume.
Ulikuwepo?Hata kitandani walienjoy mtu ufungi ndoa mpaka uwe umehitimu jando na unyago,
Kulikua hakuna uke mkavu wala tatizo la kukosa nguvu za kiume.
Ila watoto wa elf mbil bwaana they know everything.Hata kitandani walienjoy mtu ufungi ndoa mpaka uwe umehitimu jando na unyago,
Kulikua hakuna uke mkavu wala tatizo la kukosa nguvu za kiume.
Hii nayo mpya kwangu 😆Hapana. Hoja yako ninaipinga kama ifuatavyo.
Mwanzo kabisa kulikua na jamii za aina mbili, wawindaji na wasombaji, wanawake walichagua kua na mahusiano na wawindaji kwakua kwa muwindaji unajihakikishia chakula chenye ubora kuliko kwa msombaji.
Pia muwindaji anakua na mwili wenye nguvu kumzidi msombaji hivyo basi mwanamke alichagua muwindaji pia kwakua anakua amehakikishiwa usalama. Siyo tu wa chakula, bali mpaka wa kijamii.
Ambacho kimebadilika hizi nyakati zetu ni kwamba hatuna tena mikuki na mishale bali tuna pesa. Hii imechukua nafasi ya mkuki, pumzi, kifua kipana na mishale.
Kwahiyo siyo kweli kwamba uliwahi kuwepo upendo pekee, hapana na haijawahi tokea. Kulikua na kumhakikishia mwanamke usalama wake na uhakikisho ulikua huo.
Mi nimemaliza
Ama kweliPesa ni kama kilainishi cha kufanya Mapenzi yaende katika mstari mzuri
Njoo ukae kwangu godoro sinaAhahahaha aiseee acha tuu ndo naanza maisha je siwezi pata godoro.ndgu
Mwaka wenyewe una range siku 365, hata angesema kila siku awe anamega mmoja mmoja bado kuna wengine ingewabidi kusubiri!Ngoja nitarudi tena kusoma nione
Hata mimi na imagine no 1000 ni kubwa ikiwa mmoja kuna watu anawachachafya
Kwa sababu unakuta mume tayari alishakuwa family friend wa familia ya mke hata kabla ya ndoa na mke pia hivyo hivyo kwa kuachana ni kama kuharibu mahusiano ya familia mbili zilizokuwa zinajuana hata kabla ya ndoa.Hivi hii kuchaguliwa mchumba mbona ndoa zilidumu na ikiwa hawa kuchaguana wenyewe kama sasa ?
Kabisa maana mkiwa wapenzi hamuwezi ku meet basic needs zenu bila Pesa kuwepo siyo lazima muwe na pesa kama mo au Bakhressa, la hasha ni pesa tu ya kumudu mahitaji yenu bila kuomba misaada kwa wengineAma kweli
Ni mrefu saanaaaa kama una bible soma tu mkuuPost huo wimbo kwa faida ya members woote.
Pole😢Mimi naona inabidi tukubaliane na mabadiliko both culturally, socially na economical..
Hakuna namna tena, mimi nilipenda sana kupata real love, ila ni kaishia kuitwa soo senstive, na hopeless romantic.
Asante enjoyMkuu inabidi uwe delulu, dhana ya upendo wa Kweli ni wewe mwenyewe binadamu amegeuka kuwa mwiba, mwiba wa kukufanya ujione huna thamani na pia mwiba wa kuvizia downfall yako uone rangi zake halisi.
Karibuu single gang, na enjoy movie hapa:
The secrete life of Walter Mitty.
View attachment 3611437
Ni mfaano tu maana naongelea zamani na sasa kipindi cha kina Suleiman ilikua zamaniMbona unafanya comparison kwa kutumia maandiko yasiyothibitika a.k.a maandiko ya bibilia.
Kumbuka chochote kilichomo katika bibilia ni nadharia