Kabla ya Pesa Kulikuwa na Upendo♥️

Kabla ya Pesa Kulikuwa na Upendo♥️

Nilichoambiwa na mtu mzima tangu zamani hakuna mwanamke aliyetaka kuwa na mwanaume asiye na kitu mali cheo, umaridadi na vingine vingi

Hata wadangaji walikuwepo ila uwaslishaji kdg ni tofauti na sasa
 
Sasa mbona tunatupiwa lawama wanawake wa sasa😁
 
Hamna utandawazi, elimu, usasa na mabadiliko mengi yanafanya muonekane tofauti Ila binafsi sioni utofauti sana

Kuna wanawake walikuwa single parent kabla ya ndoa, wapo waliozikimbia ndoa, wapo walio saliti ndoa, wapo waliokuwa wajeuri wababe n.k hivyo wa sasa ni matokeo ya kale
 
Safiii umesema vizuri sana 🥰
 
Back
Top Bottom