Kabla ya Pesa Kulikuwa na Upendo♥️

Kabla ya Pesa Kulikuwa na Upendo♥️

Kwa sababu unakuta mume tayari alishakuwa family friend wa familia ya mke hata kabla ya ndoa na mke pia hivyo hivyo kwa kuachana ni kama kuharibu mahusiano ya familia mbili zilizokuwa zinajuana hata kabla ya ndoa.
So ndoa ilisimama kwa dhana ya family friend not love?
 
Zamani na sasa mambo ni yale yale tu hamna jipya, suleiman alikua na mali nyingi alikula kila aina ya utelezi, queen of sheba hakuliwa na mkimbiza boda, Daudi alimnyandua mke wa General wake kwa sababu alikua na cheo na mali. Tangu zamani pesa, cheo, muonekano, umaarafu vilikua privileged sema kizazi cha sasa kinazingatia sana.
Mwanetu Samsoni alipigwa bonge la tukio!

Yusufu naye akachapiwa kidogo alete vurugu ikabidi atumwe malaika kumtuliza.

Yakobo alifanya kazi miaka 14 kumpata lahazizi wake Raheli.

Siamini kama zamani ilikuwa bora.
 
Mwaka wenyewe una range siku 365, hata angesema kila siku awe anamega mmoja mmoja bado kuna wengine ingewabidi kusubiri!
Aiseee
Maana kwa hesabu ya haraka haraka, kulala nao wote ingembidi kila siku achape wawili na ni kila siku mpaka mwaka unaisha na bado wangepelea tena!
Labda alikua anaichapa per day kwa wanawake 2 nazaidi
Hata kama una nguvu za ajabu, kila siku kuichapa ile kitu ni ngumu, utapwaya tu kuna siku!
Kumbuka alikua Nabii😅
 
Hapana, nadhani aliyekuwa akipendwa zaidi anaweza kuwa labda Sulamitha ambaye alikuwa tofauti na wengine wote.

Inasemekana jamaa alikuwa na nguvu za ajabu pia, lakini bado binafsi sikubaliani na suala la kuwaridhisha wanawake wote hao, Impossible!
nitafute taratibu nikueleweshe,hata kesho we nikumbushe tu.
 
Aiseee

Labda alikua anaichapa per day kwa wanawake 2 nazaidi

Kumbuka alikua Nabii😅
Jamaa walimu overrate sana aisee, labda kama kwa kila mwanamke alikuwa anaweka kichwa tu hahah.

Na ujue nyie wanawake nunu zenu zina tofautiana sana energy, kuna mwingine ukishafanya naye tendo, mwili wako unakuwa kama umekutana na kipigo kikali sana, nguvu unakuwa hauna kabisa, mwingine ukikutana naye unakuwa kama umegain kitu cha tofauti hivi, unajisikia poa sana.
 
Jamaa walimu overrate sana aisee, labda kama kwa kila mwanamke alikuwa anaweka kichwa tu hahah.
Astaghafilullah🤣🤣
Na ujue nyie wanawake nunu zenu zina tofautiana sana energy, kuna mwingine ukishafanya naye tendo, mwili wako unakuwa kama umekutana na kipigo kikali sana, nguvu unakuwa hauna kabisa, mwingine ukikutana naye unakuwa kama umegain kitu cha tofauti hivi, unajisikia poa sana.
Hii ni kweli ila sina uhakika mie
 
Zamani mbususu zilikua hazipatikani hovyo bila ndoa,ndio maana muowaji na muolewaji waligandana,

Sasa hivi mbususu mtaani bwerere,

Zamani kabla ya kuoa au kuolewa,zilichunguzwa familia za wahusika ili kujua mzizi wa familia ya anayeolewa na anaye oa,siku hizi watu wanakutana KFC au Fesibuku kisha wana oana,

Zamani mke alimuheshimu mumewe na kumuona ni kiongozi wake,siku hizi wanawake wanshindana na waume zao na kutaka usawa,

Tatizo sio hela bali ni tabia za watu,na huu utandawazi ndio umekuja kuharibu hata pale kulipokua kuna nafuu.
 
Back
Top Bottom