Huyo suleiman mwenyewe alikuwa ana UMATE MATE...
mwanadamu kiasili tu kaumbwa kupenda vitu vizuri..
Kila mmoja wetu anapenda maisha mazuri ni vile tu tunaweza kusema na nafsi zetu, kulinda utu wetu, uanaume wetu etc
Labda ishu kubwa tu sasa hivi kuna wanaojiuza UNOFFICIAL, hawa wanajiuza kama hawajiuzi, lengo lao ni lile lile pesa tu..
Hata wewe leo uambiwe unichukue mimi PANGU PAKAVU na BAKHRESA utakimbilia kwa bakhresa, ukijipa moyo kuna dildo, ama ukihitaji utanitafuta kinyamsisi, nikushughulike...
Kuna demu humu alikuwa anasema bora kulia kwenye range, kuliko kucheka kwenye nini nini sijui.