Kabla na baada ya tendo nakuwa kama Changu

Sipendi kabisa kona uzi unaomsifu mwanaume mwenzangu.mimi mwenyewe nuksi tupu ukijichanganya,acha kutuona wanaume wa humu maanisi.nimesema acha!
 
Kwa hiyo amekukula idara zote Kama aliwavyo samaki?

Yaani hati mtandao pendwa (jicho la samaki) nalo G kalila?
 
Sijakupangia dada yangu...

Nimejaribu tu kupiga ramli...

Kwa mtu alieshiba mapenzi na hana mchecheto wowote,hana shida za kuandika thread one his/her mpenzi..Thats what I know!

U are very free to do anything my dear...very free even to provoke others,wala usijali...

Labda,napiga tena ramli...huenda mapenzi yenu ni mapya sana,kwahiyo mpo kwenye ile phase I ambapo mnaona kila mmoja ni malaika,cant do wrong...hii force ndio inatoka hapo,siku mnarudia normal condition ndio utajua ,ahaaa,kumbe tulikua tumedata na mapenzi tu...
Asante kaka kwa ushaurii
Maisha mafupi acha nimsifie sie kama tunafurahia wala haitupi tabu anafurahia pia hata tukikosana hakuna jipya nakosana na ndugu zangu sembuse mpenzi ,wacha nifurahie mi ni mkubwa najua nachofanya
 
Sijakupangia dada yangu...

Nimejaribu tu kupiga ramli...

Kwa mtu alieshiba mapenzi na hana mchecheto wowote,hana shida za kuandika thread one his/her mpenzi..Thats what I know!

U are very free to do anything my dear...very free even to provoke others,wala usijali...

Labda,napiga tena ramli...huenda mapenzi yenu ni mapya sana,kwahiyo mpo kwenye ile phase I ambapo mnaona kila mmoja ni malaika,cant do wrong...hii force ndio inatoka hapo,siku mnarudia normal condition ndio utajua ,ahaaa,kumbe tulikua tumedata na mapenzi tu...
Mapenzi hayataki mazoea, kama siku ya kwanza ulifanya manjonjo, unashimdwaje kuyaendeleza siku zote.
 
Sipendi kabisa kona uzi unaomsifu mwanaume mwenzangu.mimi mwenyewe nuksi tupu ukijichanganya,acha kutuona wanaume wa humu maanisi.nimesema acha!
Bora we umesema ukweli tafuta manzi mpende nae akusifie tu ,,nnaemsifia ni wa humu humu

Kuna mwingine kajipostisha uharo na kujifanya ye ndio G kaswekwa tayari lupango,siku hizi nna raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom