Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,605
- Thread starter
- #341
Wachoree tuDr love......nime pause sehemu nawacheck watu wanavyopita...
Wachoree tuDr love......nime pause sehemu nawacheck watu wanavyopita...
Besiti wisheziInshaaalah hakuna kitakachoharibika
Ndio baba sabrina au mpango wa kandoYes yupo humu atapita kulike tu
Kuna tatizo hapo kwenye bold au?jamani we Mwanaume ujue mi mwana wa mwanamke mwenzio sitaki unipe yote ,najua kabila lenu ni mkikamata K mpaka iongee ndio mnaiachia,mpenzi wangu nipe taratibu ntakuwa Mwehu mwenzio ,hapa nakuwaza wewe tu,nakufikiria wewe tu kweli? Sio fair babe !!!!!!!
Karibuuu umebanwaaaaMie nakusabahi tu mama G.