Kabla na baada ya tendo nakuwa kama Changu

Kabla na baada ya tendo nakuwa kama Changu

Hapa nikitaka kukutana na G navyokuwa ni kama samaki huyu aitwae Changu (wakazi wa Dar mnajua huyu samaki wenu ) aliemla kama Breakfast leo asubuhi View attachment 726717 nakuwa kama huyu samaki Changu ,akimaliza ndivyo navyokuwa hivView attachment 726718 jamani we Mwanaume ujue mi mwana wa mwanamke mwenzio sitaki unipe yote ,najua kabila lenu ni mkikamata K mpaka iongee ndio mnaiachia,mpenzi wangu nipe taratibu ntakuwa Mwehu mwenzio ,hapa nakuwaza wewe tu,nakufikiria wewe tu kweli? Sio fair babe !!!!!!!

Nipe kidogo japo nami nataka sana lakin jaribu kupunguza ntachizika meme hebu oneni huyo samaki alivyoliwa ndivyo navyobakia mwenzenu si ntaisahau hata jf sasa[emoji119][emoji119] kina Iceman 3D si watanikosa jf,
We baba nimekunyanyulia mikono juu na salute juu si kwa mahaba haya na mapenzi unayonipa yananizidia ujue,akinitazama usoni macho yake jamani,akinikiss sasa forehead yangu ,akinikamata kiuno na mikono yake iliyojaa kimazoezi ,tukitembea nashikwa mkono nakisiwa popote pale hakuna cha kujificha wala nini aa nazidiwa raha mie nyie[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]

Wanajf wenzangu naombeni mniombee kwa G apunguze mapenzi na mahaba maana nakaribia kuwa mwehu kabisa kwa ajili yake mtanipoteza meme,angalieni samaki alivyomla akabaki mnihurumie tokea nimewahi kuwa na baadhi ya wanaume hapa duniani huyu ni kiboko anashika namba 1 hivi kwanini sikukujua mapema wewe mwanaume [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mpaka naumia mie ila Mungu hupanga mapenzi popote pale.napata raha mpaka nataka kuzimia sijui una mpango gani huyu mkaka ,ila Nakupenda tu mimi sina namna umesema hata kwa lazima ntakupenda na ntakuheshimu kweli kabisa nakuheshimu kweli maana unaniheshimu mpaka naogopa

Nakupenda G wangu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Hahahaaa

Ukiona mtu anasifia sifia sana mpenzi wake mbele za watu,kuna tatizo analificha...

Unaempenda si anajijua,na anajua unavyompenda!?

Hutakiwi kua naive namna hii...

Hii inaonesha kuna mtu yupo insecure sana....Hebu jiamini huna haja ya kuandika "Thread" hadharani namna hii...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] oooh kumbe wala hakuna shida asa MMU nini,we kama upo serious sana nenda yale majukwaa yenu ya hakuna Mungu na forex
Ila umenifurahisha jua tu tunatofautiana na hatuwezi pangiana
Basi tutakuwa wengi ambao tupo insecure maana wanaofungua nyuzi ni wengi na wanasifia wapenzi wao
 
Sijakupangia dada yangu...

Nimejaribu tu kupiga ramli...

Kwa mtu alieshiba mapenzi na hana mchecheto wowote,hana shida za kuandika thread one his/her mpenzi..Thats what I know!

U are very free to do anything my dear...very free even to provoke others,wala usijali...

Labda,napiga tena ramli...huenda mapenzi yenu ni mapya sana,kwahiyo mpo kwenye ile phase I ambapo mnaona kila mmoja ni malaika,cant do wrong...hii force ndio inatoka hapo,siku mnarudia normal condition ndio utajua ,ahaaa,kumbe tulikua tumedata na mapenzi tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom