Kabla na baada ya tendo nakuwa kama Changu

Kabla na baada ya tendo nakuwa kama Changu

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,607
Reaction score
27,605
Hapa nikitaka kukutana na G navyokuwa ni kama samaki huyu aitwae Changu (wakazi wa Dar mnajua huyu samaki wenu ) aliemla kama Breakfast leo asubuhi
IMG-20180327-WA0004.jpg
nakuwa kama huyu samaki Changu ,akimaliza ndivyo navyokuwa hiv
IMG-20180327-WA0006-1.jpg
jamani we Mwanaume ujue mi mwana wa mwanamke mwenzio sitaki unipe yote ,najua kabila lenu ni mkikamata K mpaka iongee ndio mnaiachia,mpenzi wangu nipe taratibu ntakuwa Mwehu mwenzio ,hapa nakuwaza wewe tu,nakufikiria wewe tu kweli? Sio fair babe !!!!!!!

Nipe kidogo japo nami nataka sana lakin jaribu kupunguza ntachizika meme hebu oneni huyo samaki alivyoliwa ndivyo navyobakia mwenzenu si ntaisahau hata jf sasa[emoji119][emoji119] kina Iceman 3D si watanikosa jf,
We baba nimekunyanyulia mikono juu na salute juu si kwa mahaba haya na mapenzi unayonipa yananizidia ujue,akinitazama usoni macho yake jamani,akinikiss sasa forehead yangu ,akinikamata kiuno na mikono yake iliyojaa kimazoezi ,tukitembea nashikwa mkono nakisiwa popote pale hakuna cha kujificha wala nini aa nazidiwa raha mie nyie[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]

Wanajf wenzangu naombeni mniombee kwa G apunguze mapenzi na mahaba maana nakaribia kuwa mwehu kabisa kwa ajili yake mtanipoteza meme,angalieni samaki alivyomla akabaki mnihurumie tokea nimewahi kuwa na baadhi ya wanaume hapa duniani huyu ni kiboko anashika namba 1 hivi kwanini sikukujua mapema wewe mwanaume [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mpaka naumia mie ila Mungu hupanga mapenzi popote pale.napata raha mpaka nataka kuzimia sijui una mpango gani huyu mkaka ,ila Nakupenda tu mimi sina namna umesema hata kwa lazima ntakupenda na ntakuheshimu kweli kabisa nakuheshimu kweli maana unaniheshimu mpaka naogopa

Nakupenda G wangu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom