Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,605
- Thread starter
- #61
Ahahah hakuna mtu niliewah kuwa nae nafanya kwa furaha zanguNawaza tu kuna mtu unampiga kijembe vile kakumwaga ni mawazo tu!!
Ahahah hakuna mtu niliewah kuwa nae nafanya kwa furaha zanguNawaza tu kuna mtu unampiga kijembe vile kakumwaga ni mawazo tu!!
Sawa sikataiSio natamani ila najua ni ndoto
Aaah kisu weeeChangu = changudoa.
Sawa Mkuu endelea kuota ukiamka utauchukia usingiziSawa sikatai
Na nyuma umleRaha ya samaki (changu) ukishmla mbele.....
Ahahhahaa ntaendelea kulala niendelee kuota ndoto nzuriSawa Mkuu endelea kuota ukiamka utauchukia usingizi
Burudani kabisa!Kabla ya kulishwa nabebwa naenda kuoga nae,nimehalalisha sitaki mwingine naomba Mola nizikwe nae ,kitandani hachoshi Dia tukilala ananikumbatia,ametuliaaa anajiliaa ,vinunu vyamumenya katuliaa ananukiaa eee
Ndoto hairudi Mara mbili hapo ukirudi kulala utajikuta unaota umekabwaAhahhahaa ntaendelea kulala niendelee kuota ndoto nzuri
Hahaah sawa mremboAhahah hakuna mtu niliewah kuwa nae nafanya kwa furaha zangu
Hhhhaaaa we niombee mabayaa tuNdoto hairudi Mara mbili hapo ukirudi kulala utajikuta unaota umekabwa
Sawa Blackstarline.karibu tenaHahaah sawa mrembo
Sikuombei ila ni tabia za ndotoHhhhaaaa we niombee mabayaa tu
Kwetu rahaa na yajayo yanafurahisha zaidiBurudani kabisa!
Kama upo mbingu ya saba!
Lakin mapenzi yanafanya mtu uwe na furaha sana!cha ajabu kuna watu wakiona mnafurahia mapenzi yenu eti wanachukia!sasa tunasema chukieni na viwembe mmeze mamaa yenyewe mamaa sabri iko juu yake!ukiumia kunywa sumu kisha ujinyonge.hahahah
Si hatukulagi changu huwa tunakulaga papa.Si tunakula chura ni balaa... [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Hahaahah sawa ngoja niendelee kuotaSikuombei ila ni tabia za ndoto
Sawa mi nasubiri uamke uje useme ndoto hazina huruma na mafanikio yakoHahaahah sawa ngoja niendelee kuotaView attachment 726797 nimuote sana napenda ndoto
Nikaribie wapi? au anacho pewa G?Sawa Blackstarline.karibu tena
HapanaNikaribie wapi? au anacho pewa G?