Je, Bahari ya Hindi itabadilika jina iwapo India itabadili jina lake?

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,023
3,583
Habari za muda wakuu na pole sana kwa majukumu kwa wale ambao mna cha kufanya na wale ambao hamna cha kufanya.

Kama mlivyosikia kwenye vyombo mbalimbali vya kimataifa na hapa nyumbani Tanzania kuwa INDIA ipo katika mchakato wa kubadili jina lake na kutumia jina jipya la "Bharat" ambalo inasemekana ndio jina la zamani kabisa na la asili la India.

Sasa nimekaa nikajiuliza kwa kuwa Bahari yetu hii Pendwa imetoa jina lake INDIA, na kuitwa Bahari ya Hindi au Indian Ocean. Sasa baada ya India kubadili jina itabidi Iitwe Bharat Ocean??

Msaada tafadhali kwa wale wataalam wa haya mambo

Muwe na siku njema

d2a29a7a4d.jpg
 
Back
Top Bottom