Kabila penda ngono kuliko yote

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,317
Reaction score
139,035
Wakuu wa Dar na Pwani poleni kwa mvua kubwa zinaendelea.Pamoja na hayo haizuii kuendelea na mijadala.Ili kuweka kumbukumbu sawa ni vyema tukajua kabila penda ngono kuliko yote.Wengine wanasema Wahaya,mara Wapare!sasa ni muhimu kujua ili kujiandaa kisaikolojia

Updates..............
Nimejifunza kuwa ni ngumu ku-generalize tabia za kupenda ngono na kabila. Kwa mujibu kwa memba mmoja humu kuna ''kabila lisilo rasmi'' la ''Wanavyuo''.........hawa wanaonekana kutisha sana. Tuendelee kudadavua
 
Wewe umeleta hoja ama swali sasa mambo ya kijiandaa psychologically yanatoka wapi?
 
Wahaya ,Warangi ,Wanyiramba ,Wapare wa same, Wazaramo, Wasambaa
 

Vp unatakaje?
 

We mwenyewe kabila gani?
 
kujiandaa unapotaka kuingia kwny mahusiano na wahusika

Kivipi ?yani wewe unawapenda au ? Ngono ni kupendana tu kuna makabila ambayo hayavumi lakini ni balaa lakini vilevile bado ni tabia ya mtu kupenda au kutopenda ngono
 

Maada nyingine kweli balaa tupu. Zamani zile ilisemekana kwamba wanawake wa kichaga walikuwa hawajui kukata viuno. Lakini sidhani kama hiyo ni kweli siku hizi. Ni mafundi kama wengine tu. Maana yangu dhana hizo ni za zamani wakati huu hazina ukweli wowote!

Njia nyingine ya kujiuliza swali lako ni hivi - hivi ni kabila gani hawapendi ngono? Yaani kwenye chati ya ngono (kama ipo) wapo chini kabisa. Nitajie kabila moja tuone!
 

Kabila lako ndio lakwanza
 

KWA MUJIBU WA CHART ZA JUU SANA ZA BILLBOARD NI KWAMBA WAHAYA HAWAJAPATA MPINZANI KWA HAPA TANZANIA ILA KWA KABILA LISILOPENDA NGONO NI WASUKUMA hasa wale wa mwanza WAKICHUANA VIBAYA SANA NA WAZANAKI.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…