Kabakabana Uko Wapi?

Kabakabana Uko Wapi?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Huyu mwanaJF kaishia wapi wandugu? Alikuwa amezoea sana kuweka kambi MMU na kuonekana majukwaa mengine lakini ghafla katoweka. Najua kwa uhakika hana Ban. Mwenye kujua habari zake atueleze.

Pia nafurahi kuwaeleza kuwa Lizzy kafunguliwa. Nilimwona jana 2/5 kule MMU.
Karibu sana Lizzy!
 
Niko nae apa anachezea playstation, amesmile baada ya kuona posts zenu na anawasalimia pia
 
Kabakabana unakabana wapi dada yetu? Njoo mitu ya JF imekumiss wewe.
 
yupo yupo kapumzika kidogo..
JF bana unaweza kulala unaota iko JF
 
yupo yupo kapumzika kidogo..
JF bana unaweza kulala unaota iko JF

Nipo katika juhudi kubwa za kumkurupua huko alikoweka kambi lakini network not reachable daaaaaah!!!

Anyway tuvute subira atakuja.
 
Huyu mwanaJF kaishia wapi wandugu? Alikuwa amezoea sana kuweka kambi MMU na kuonekana majukwaa mengine lakini ghafla katoweka. Najua kwa uhakika hana Ban. Mwenye kujua habari zake atueleze.

Pia nafurahi kuwaeleza kuwa Lizzy kafunguliwa. Nilimwona jana 2/5 kule MMU.
Karibu sana Lizzy!

Yule ni Vasco da Gama wa kike! Huenda yuko Mtwara ...
 
Kaba anahangaika kuchomoa kamkono kake toka kwenye niniliyu,kila siku nilikuwa namwambia akachomoe hataki ona sasa kamegandia humo!
 
Kabakabana yuko kijijini Kideleko Handeni Tanga kwa Mkaza Mjomba wake.................LOL
 
Last edited by a moderator:
Kafichwa na tanmo wanakula za gazeti la udaku la jf.
 
Dah huwa namuwaza sana kila siku....hope atarudi muda si mrefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom