Kwahiyo ndio maana umenikalia kimya ee!🥰🥰🥰💯
Kwahiyo ndio maana umenikalia kimya ee!🥰🥰🥰💯
SwadaktaNoted brother! Harakati zimekuwa nyingi, ila muda ukitimia litakuwa!
Insommia inakutafuna weweUkimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo mipya na maono mapya. Sikiliza ukimya na utaona yote ambayo unaweza kujifunza na kujisahihisha.
~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.
Kaa kimya! Ukimya ni hekima, Ukimya ni tafakuri, Ukimya ni kujitathmini.
Good morningTanganyika
.
Hahahha....! Majasusi bwanaKwahiyo ndio maana umenikalia kimya ee!
Basi uwe mwinjilist ueneze injili..wengi mnakimbilia kuanzisha makanisa ..hubiri nyumba kwa nyumba !Ni roho ya wito wa KiMungu ningetaka fursa nisingekuwa hapa leolakini nimeshavuka viwango vya matamanio ya kupata kwa njia hiyo
Hakika brother, Lakini hayo yote yanawezekana kwa msaada wa Roho mtakatifu tu, Lakini kwakutumia Elimu na busara za kibinadamu,utajikwaa tu, maana kuna wanadamu wana lugha na maneno yamejaa pilipili,usipotoa machozi, Basi mdomo utawashwaUkimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo mipya na maono mapya. Sikiliza ukimya na utaona yote ambayo unaweza kujifunza na kujisahihisha.
~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.
Kaa kimya! Ukimya ni hekima, Ukimya ni tafakuri, Ukimya ni kujitathmini.
Good morningTanganyika
.

Ukishaona hii ni pilipili bro kimbia...RUN!Hakika brother, Lakini hayo yote yanawezekana kwa msaada wa Roho mtakatifu tu, Lakini kwakutumia Elimu na busara za kibinadamu,utajikwaa tu, maana kuna wanadamu wana lugha na maneno yamejaa pilipili,usipotoa machozi, Basi mdomo utawashwa![]()
AmenBwana atakupigania wewe ukinyamaza na kutulia.
Kutoka 14:14
Na neno hili likafanyike baraka kwako tangu sasa na siku zote.. Aamen![]()

aaawapi ningesha ionaKuna roho ya utumishi inaniita kila wakati na ndio iliyonifanya niache ulozi![]()
Yani dada yetu kipenzi katika imani nusra anauwawa kikatili kwenye ajali na gari la serikali tukae kimyaa? Haiwezekani.Ukimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo mipya na maono mapya. Sikiliza ukimya na utaona yote ambayo unaweza kujifunza na kujisahihisha.
~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.
Kaa kimya! Ukimya ni hekima, Ukimya ni tafakuri, Ukimya ni kujitathmini.
Good morningTanganyika
.
Anza kuandamana kwenda kwa PengoYani dada yetu kipenzi katika imani nusra anauwawa kikatili kwenye ajali na gari la serikali tukae kimyaa? Haiwezekani.
Jumatatu tutaandamana kwaanzia ubalozi wa Israel, Marekani hadi bungeni.
Gavana ielewemitaa hydroxo inamankusweke Akhi Mokiti
Anza kuandamana kwenda kwa Pengo