Kaa kimya

Kaa kimya

Amen

katika mojawapo ya mapambano yangu katika maisha yangu ni kujifunza kukaa kimya na kusamehe. Namshukuru Mungu nimeweza kwa kiasi flani, na nimeona mabadiliko kwenye maisha yangu. Naendelea kumwomba Mungu aendelee kunibariki zaidi na zaidi katika jambo hili, Amen.
Aaamen
 
Ukimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo mipya na maono mapya. Sikiliza ukimya na utaona yote ambayo unaweza kujifunza na kujisahihisha.

~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.

Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.

Kaa kimya! Ukimya ni hekima, Ukimya ni tafakuri, Ukimya ni kujitathmini.

Good morning Tanganyika .
Kazi ya mdomo ni kula chakula na kumeza dawa
 
Hapo kwenye kuongea bila kupiga kelele umenifurahisha.Kuna rafiki yangu akiongea na mtu yoyote utafikiri Kuna ugomvi yaani kama kashika maiki na speakers za vigodoro
 
Sometimes watu wanaokaa kimya wana boa bwana. Nina ndugu unamuacha na wageni sebren hata kuwazungumzisha tu no. Halafu kukaa kimya unaweza ukaonekana una dharau / Kiburi pia unaweza kuonewa tu na kupoteza haki zako.....na hata wanawake akijua wewe ni wakukaa kimya atakuonea sana .....nataka ni seme tu UKIMYA NI MZURI LAKINI UWE NA MIPAKA
 
Nimefafanua
~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
 
Nimefafanua
~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
Hateiya kishambaa unu mghoshi
 
Back
Top Bottom