kimbia! honestly, ruuun!
jasiri haachi asili, na hy sifa ya kurukaruka si ya mwanamke.
hakufai, atarudia tena.
believe me. nipo kwny ndoa na najua kuna wakati mambo hayaendi vizuri. so km ni mtu asiyekua na misimamo, and i mean it, misimamo, kitu ambacho mwanamke ameumbiwa, basi atatafuta pa kupoozea stress zake jus like she used to do. na itakucost cuz tayari umekubaliana na story za past yake.
pia ana IQ ndogo sana. umri must be a factor. mchunguze kwa miaka miwili hadi mitatu ujue km kabadilika. then fanya maamuzi ya kuoa.
Im my case, i had the same story. was a badboy. bt niliamua kuacha, after kumpata mtu wa ndoto zangu. remember, niliamua kuacha kabla, cuz maisha yale hayakua mazuri.
nilimpa wife ukweli wa fujo nilizofanya na alikubaliana nami, cuz i meant to be with her for the rest of ma life.
na kizuri zaidi ni kuwa aliniamini . na hiko ndo kigezo muhimu kilichoniboresha na kutokurudia uplayer!
nilimuomba to Help Me Be The Best Man I Can Be.
so, km ni kweli anajuta, watch over her for 2 years then amua.
Help Her Be.....bt mpk atake mwenyewe!