K Mileage

K Mileage

physically yes...uume haupungui wala kuongezeka kwa kudo sana.

Aisee...ila kwa wadada kunaisha!? Hasa si kuna wengine wangekuwa hawana kabisa!? Isije ikawa yale yale ya binadamu wa kwanza alitokea kwa nyani na wala hatuwaoni nyani waliopo wakiwa binadamu.
 
mawasiliano ya simu yana changamoto zake. Kwa upande mmoja mnapowasiliana kwa simu mara nyingi mnakua free sana kuongea ya moyoni kwa sababu hamuonani. Mtafute na muongee kwa makini ana kwa ana. From there comes an informed decision. Usifanye maamuzi ya ghafula kwa sasa. Fanya hivyo kisha urudi
 
Hakuna shida bora muelewane,mavi ya kale hayanuki
 
pole!
ila unapoteza boooonge la mwanamke!\
ile guts tu ya kukwambia ukweli kwa wenzio ni ishu sana
ulitaka akuweke shabu ukute bikra?
ulitaka akwambi amefanya kibaba baab na kimama tu?
ulitaka aseme alibakwa hakua anataka?
HALUA HAINA MAKOMBO best!
cha msingi mkapime yuko poa,weka kitu ndani!
nimependa akili ya huyo dada kama kweli hayo ndo yalikuwa majibu yake
 
An obvious mismatch here.....
For this to work, it must be the other way....

mhhhhhhhh.........

angekuwa wa kiume ndio analist ndefu ingekuwa poa tu ehe?
 
  • Thanks
Reactions: RR
kwani ww aliyekwambia k huwa zinaongezeka kwa ku do na wanaume wengi nani?..
..kumbe ww ni rahisi kuibiwaeeh,nishakuona kabisa!
...unajua tumeumbwa tofauti? Kuna mwingine utagonga na utakuta yuko vzr sanaaaa na ameshapita kwny mahusiano kibaoooo,ht wanaume 20, ss hapo utasemaje?
..do u knw that kuna watu walio oa malaya/waliokua wanajiuza/bar made (ambao waliamua kuachana na hzo bness), na wako vzr maumbile yao!!
...acha kabisa mawazo hayo utachemka vibaya,shauri yako!
Unless tafuta bikira!
sasa inakuaje demu ulikua unado nae inaingia bila shida then akiacha kwa mda hata miezi miwili ukija kudo nae inaingia kwa tabu?.
 
Aisee...ila kwa wadada kunaisha!? Hasa si kuna wengine wangekuwa hawana kabisa!? Isije ikawa yale yale ya binadamu wa kwanza alitokea kwa nyani na wala hatuwaoni nyani waliopo wakiwa binadamu.
kwa wadada kunalegea na kupwaya,vilevile sensitivity ya kuta za uke zinakua butu kiasi kwamba anaweza kuwa anafanywa huku yeye yuko busy anatext.
 
haya maswali hatari sana sheikh kumwuliza mawnamke kama huna moyo......so what?

Kuna kawimbo ka hawa kizazi cha jah kaya....kanasema nidanganyedanganye tu.........kana mantiki sana katika muktadha huu....
 
Last edited by a moderator:
Kuna kawimbo ka hawa kizazi cha jah kaya....kanasema nidanganyedanganye tu.........kana mantiki sana katika muktadha huu....



asee hommie umenikumbusha mbali asee..
 
Last edited by a moderator:
Simplicity;
Follow your heart , give yourself time. haya mambo ni very subjective.Ukiona hauna raha na hiyo lift usiforce italeta matatizo in a long run ( kama hauna kifua nacho) think twice. Ni kama tu tunavyonunua magari kuna watu wengine wanataka brand new, wengine milleage zaidi ya km 50,000 hawataki,wengine km 100,000 wako fine pia wengine hata km 200,000 ni poa tu.
Get to know her better,inawezekana akawa na quality zingine nzuri za kukufanya uone hiyo mileage siyo issue sana and you don't want loose her.
Ila kuwa makini lazima ujue kwanini alikuwa anawaacha wengine na sa iv whats so special about you that can keep her forever by ur side.una uwezo wa kumsuport bila kuterereka?hahahahah!akianza kutokukufeel tu bila sababu kama wengine utafanyeje?
All the best na usisahau kumwomba Mungu hiki ndicho kiwe cha kwanza kwani yeye anaona pale ambapo sisi kwa macho ya kibinadamu hatuwezi ona.
 
You want the TRUTH???????????, The TRUTH and Only the TRUTH???????,

BUT YOU CANT HANDLE THE TRUTH!!!!!!!!!!!!!!!!!!! {MOVIE: An OFFICER AND A GENTLEMAN!}
 
Back
Top Bottom