K Mileage

K Mileage

It seems una bahati mbaya sana na wadada, mara wasiona sura, mara hivi, leo umepata aliyesfiri km nyiiingi per hour.

Pole sana.

Kokutona kwani wewe vp status yako?
 
kwa wadada kunalegea na kupwaya,vilevile sensitivity ya kuta za uke zinakua butu kiasi kwamba anaweza kuwa anafanywa huku yeye yuko busy anatext.

Daah, hizi theory nyingine kiboko, kwa mtazamo wako hao waliozaa ndio itakuwa hatari zaidi.
 
Ndo ukome kaulizwa past relationships, inakuhusu nini? Kampime ngoja then upande kuongezeka mileage nawewe. Usiku die tena kaulizwa hizo story zitakukata stim
 
Simplicity. Una mambo ya kitoto, maswali yote uliyomuuliza hayakuhusu wewe siyo Mungu kuhukumu mtu kwa kile ulichotaka kujua kwa hiari yako mwenyewe. Unapotaka kuhoji maswali kama hayo lazima wewe ujipepeleze nafsini mwako umeshalala na wanawake wangapi, kwa sababu gani?

Mume au boyfriend marufuku kuniulize upuuzi wa hivyo ukitaka nikutajie (andaa notebook tatu). We si muoaji pia, utampotezea mwenzio step bure.
 
Una mambo ya kitoto, maswali yote uliyomuuliza hayakuhusu wewe siyo Mungu kuhukumu mtu kwa kile ulichotaka kujua kwa hiari yako mwenyewe. Unapotaka kuhoji maswali kama hayo lazima wewe ujipepeleze nafsini mwako umeshalala na wanawake wangapi, kwa sababu gani?

Mume au boyfriend marufuku kuniulize upuuzi wa hivyo ukitaka nikutajie (andaa notebook tatu). We si muoaji pia, utampotezea mwenzio step bure.

Caro...
Wakati mwingine, kama mtu ana kifua cha kuyabeba, ni vizuri kumjua mtu wako kwa undani. Hii inaweza kuepusha matatizo ambayo labda yangejitokeza baadae!

As for me, lazma tuambiane yalopita.. na wala sitakuwa na doa rohoni coz hata mimi si mkamilifu. Na kwa uzoefu mdogo, kama mwanamke atakuwa willing kutoa mambo yake ya siri kwa mwanamme, then she's in for a serious business!
 
Nimekuelewa, tatizo ni pale unatoa vitu vyako vya ndani unamwambia mtu anabaki kufanya story! does it make difference? Ninachojua mimi, sipendi kujua past history(kiroho tunasema ya kale yamepita, tazama yamekuwa mapya) nina imani kama tumekubaliana kuwa pamoja umedhamiria siyo usanii. Kwa tulio wengi, tunajikuta tuna mlolongo wa b/f kwa sababu ambazo upande mmoja unakuwa hauelewi. Kwa mfano wanaume wanaotongoza kwa style ya HIT N RUN" hakuna mwanamke yoyote atakubali unless awe na tabia ya kihivyo.

Kikubwa ni hiki; wale ambao bado kuoa, uwe na mikakati thabiti, huwezi kukutana na mtu casino au bar au disco ukahoji kama anakunywa pombe, anapenda kucheza mziki au ameshawahi kuwa na wapenzi wangapi.
 
kwani ww aliyekwambia k huwa zinaongezeka kwa ku do na wanaume wengi nani?..
..kumbe ww ni rahisi kuibiwaeeh,nishakuona kabisa!
...unajua tumeumbwa tofauti? Kuna mwingine utagonga na utakuta yuko vzr sanaaaa na ameshapita kwny mahusiano kibaoooo,ht wanaume 20, ss hapo utasemaje?
..do u knw that kuna watu walio oa malaya/waliokua wanajiuza/bar made (ambao waliamua kuachana na hzo bness), na wako vzr maumbile yao!!
...acha kabisa mawazo hayo utachemka vibaya,shauri yako!
Unless tafuta bikira!

bikra zenyewe kuna mchina siku hizi........
 
mwanamke bwana anatakiwa awe wa mtu mmoja tu. Lakni hawa watu wako kama magari sijui kiti cha basi? kila mtu anakalia halafu anashuka popote.serious task!

Nani anapanda hilo gari na kukalia hicho kitu. Hoping ni mwanaume je ana haki? P..is nayo mileage balaa
 
Una mambo ya kitoto, maswali yote uliyomuuliza hayakuhusu wewe siyo Mungu kuhukumu mtu kwa kile ulichotaka kujua kwa hiari yako mwenyewe. Unapotaka kuhoji maswali kama hayo lazima wewe ujipepeleze nafsini mwako umeshalala na wanawake wangapi, kwa sababu gani?

Mume au boyfriend marufuku kuniulize upuuzi wa hivyo ukitaka nikutajie (andaa notebook tatu). We si muoaji pia, utampotezea mwenzio step bure.

notebook 3 ni uharibifu wa rasilimali , bora akuandalie counter book bibi............

kwa kizazi cha sasa hivi mwanamke mpaka aolewe ameshatumia sana kiungo chake cha uzazi.........
 
In real life huo ndio ukweli! The good thing hajamumunya kaumwaga ukweli kama ulivyo unyoe au usuke! Cha msingi chunguza tabia yake kuna wanawake hawajui kusema no!! Awe ameolewa hajaolewa! Ukiangukia hapo ujue umeubebeba msalaba!!
 
I sometimes tell serious lies not because i like but simply because its expected of me to lie!

Lara 1 hivi nanii ikigegedwa sana inaonyesha kuchoka eti K millage au huyu Bwana anaongea vitu vya kufikirika tu! Mimi ninajua kadri unavyo fanya ndio unazidi kuwa fundi na uzoefu wa kutosha
 
Nimekuelewa, tatizo ni pale unatoa vitu vyako vya ndani unamwambia mtu anabaki kufanya story! does it make difference? Ninachojua mimi, sipendi kujua past history(kiroho tunasema ya kale yamepita, tazama yamekuwa mapya) nina imani kama tumekubaliana kuwa pamoja umedhamiria siyo usanii. Kwa tulio wengi, tunajikuta tuna mlolongo wa b/f kwa sababu ambazo upande mmoja unakuwa hauelewi. Kwa mfano wanaume wanaotongoza kwa style ya HIT N RUN" hakuna mwanamke yoyote atakubali unless awe na tabia ya kihivyo.

Kikubwa ni hiki; wale ambao bado kuoa, uwe na mikakati thabiti, huwezi kukutana na mtu casino au bar au disco ukahoji kama anakunywa pombe, anapenda kucheza mziki au ameshawahi kuwa na wapenzi wangapi.

Lakini Caro, you just don't spit everything to a stranger, lazma umfahamu angalau kiasi cha kuwa huru kumwambia, au ujue huyu mtu je, wivu wake uko level gani.

Kuwa na list ndefu ya bfs au gfs ni kitu cha kawaida siku hizi na huwezi kuwa na bf bila yeye kukuonja, kwa hiyo kama unamfahamu mtu angalau kidogo, unadhani he's serious with you, then sioni ubaya kumwambia mambo yako... kwangu it's a relief to know my partner's pasts, with a condition that am not entitled to judge her.
 
Angalia tu siku usijemwagiwa ukweli alafu ukatamani kukimbia!
 
Hakuna cha mileage wala nini hapo mkuu hiyo kitu haichuji, ni kama njaa tu, hata ule kuku nzima leo kesho yake inarudi pale pale! hivi hujiulizi kwa nini wanaume wanaiba wake za watu tena wenye watoto! labda uongelee upande wa tabia yake tu, na kwamba hukutegemea mtu wa style hiyo!!!

MKuu kuna mawazo kuwa mwanamke akiwa na mtu mmoja kwa muda mrefu K mileage haisomi sana kama akiwa na wanaume tofauti. Kwa hiyo inawezekana huyu bwana ana mawazo kama haya.

Mimi binafsi sina msimamo wowote katika hili.
 
hivi kwani wewe umepimwa malilage na nani?? ama na nini??
na wewe ingekuwa chaki ingebaki kichungi ama kama ingekuwa penseli ingeshabaki size ya ufutio wake

Soma tena uzi dada mkubwa utaona mileage ya mtoa mada. Usimsingizie bana, labda kama anadanganya. Ila sasa mimi amenishangaza kidogo maana nimeozoea wale wanaume wazinzi haswa ndio huwa wanajali sana hii habari ya mileage kwenye suala la kuoa. Tena sasa huwa wanatafuta bikra kabisa
 
Back
Top Bottom