K Mileage

K Mileage

hivi kwa nini uulize mambo ambayo ukiambiwa ukweli wake unachukia?''
 
Unaonaje ukimuacha, ukatafuta mwenye bikira ya mbele ili mileage iwe 0.

Halafu ukikaa naye baada ya miaka 3, unamdiscard as mileage itakuwa 100 days * 2 baos* 3 years * 16km. Hapo hatujahesabu mabega ya mtoto yaliopita ktk hiyo k. Unatafuta kabikira kengine kenye zero milleage.


It cant be me, mimi na vinuka mkojo wapi na wapi? You need to be mature to impress me, halafu list yangu ni 40+ siyo hiyo sijui 6.

Dada Kaunga wewe ni mkali sana ! una maneno ya ukali sana, na hasira nyingi kwa huyu 'dogo' !!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu ukimchunguza bata huwezi kumla,sasa wewe maswali yote hayo yamekufanya ukate tamaa ona sasa
 
Ukweli ni mzuri hata pale unapouma, umeambiwa ukweli, kama anamaanisha kuacha na kuona hakua amefanya sawa endelea mbele, kupima afya hapo ni muhimu sana, pia jitathimini wewe "umeharibu" kiasi gani katika hilo eneo, kabla hujakata hukumu, jikatie wewe kwanza, aliyeharibu mara moja hana tofauti na mara kumi, wote wanaingia katika kapu la kuharibu,
Napenda nayesema ukweli hata kama unauma
 
Back
Top Bottom