Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
physically yes...uume haupungui wala kuongezeka kwa kudo sana.Hivi hizi mileage huwa zinahesabu upande mmoja tu?
physically yes...uume haupungui wala kuongezeka kwa kudo sana.Hivi hizi mileage huwa zinahesabu upande mmoja tu?
mwanamke bwana anatakiwa awe wa mtu mmoja tu. Lakni hawa watu wako kama magari sijui kiti cha basi? kila mtu anakalia halafu anashuka popote.serious task!
Kuna tofauti tunapokuja kwenye masuala ya usalama kiafya. Mtu aliyetembea na watu 10, chance ya kupata magonjwa ya zinaa ni kubwa (endapo hajali kutumia kinga) kuliko aliyetembea na mtu mmoja. Hivyo basi probability ya kutokuwa salama ni kubwa zaidi kuliko yule aliye na mtu mmoja. Suala hapa si kufikiria mileage tu bali afya ya mwenza.-mi ninavyojua aliyekuwa na 1 na aliyekuwa na 10 wote ni wazinzi tu, hakuna cha afadhali
-halafu mwanamke aliyetembea na wanaume 2 ktk life time yake na aliyetembea na 10 hawana tofauti ktk K zao
-we endelea naye tu as long as ataacha mahusiano yake ya zamani.
Na mimi ninasema hayo ni Maneno tu Arawa hata kwenye Boxer/pichu Yapo..............Ila mimi najiuliza Huyo Demu atakuwa na Miaka Mingapi????Wahenga walisema, "Choko mchokoe pweza, binadamu hutomuweza."
wahenga walisema, "choko mchokoe pweza, binadamu hutomuweza."
Na mimi ninasema hayo ni Maneno tu Arawa hata kwenye Boxer/pichu Yapo..............Ila mimi najiuliza Huyo Demu atakuwa na Miaka Mingapi????
Kuna tofauti tunapokuja kwenye masuala ya usalama kiafya. Mtu aliyetembea na watu 10, chance ya kupata magonjwa ya zinaa ni kubwa (endapo hajali kutumia kinga) kuliko aliyetembea na mtu mmoja. Hivyo basi probability ya kutokuwa salama ni kubwa zaidi kuliko yule aliye na mtu mmoja. Suala hapa si kufikiria mileage tu bali afya ya mwenza.
-mi ninavyojua aliyekuwa na 1 na aliyekuwa na 10 wote ni wazinzi tu, hakuna cha afadhali
-halafu mwanamke aliyetembea na wanaume 2 ktk life time yake na aliyetembea na 10 hawana tofauti ktk K zao
-we endelea naye tu as long as ataacha mahusiano yake ya zamani.