K Mileage

K Mileage

Teh! Umeona sasa besti??
Ya kukimbia yapo mengi tu kulingana na mtu mwenyewe let alone the fact that unaweza mtongoza mtu ukijua/kuamini kuwa ashakuwa na mahusiano.

Hivyo basi ni dhahiri kuwa sio kila ukweli unaleta afueni!

Kwa hiyo wewe utanidanganya e!
Btw, nina mpango wa kurusha ndoana.... teh! Usije kunianika jamvini tu.. 😀
 
Kwa hiyo wewe utanidanganya e!
Btw, nina mpango wa kurusha ndoana.... teh! Usije kunianika jamvini tu.. 😀

Inategemea . . . . kwani kila wanaodanganya au kusema ukweli, huwa wanacho wakiaminicho.

Hahah wanaoanikwa dagaa wabichi besti!
 
Mkuu ndo mana mi sijaoa mpk leo. Hapo ndo pengine hta tgo washaifumua, we ukigusa tu unatishiwa kupelekwa kwa paroko.
Mbaya zaidi ukiangali mtandao wenyewe dhahiri shari unaona hapa Mmmmm!! Siyo salama. Kitu kipo wazi, vinyoleo vyote avipo.
 
Kaunga isije kuwa ndio wewe niliyekutana naye mtaani!

It cant be me, mimi na vinuka mkojo wapi na wapi? You need to be mature to impress me, halafu list yangu ni 40+ siyo hiyo sijui 6.
 
Simplicity. umeyataka mwenyewe mkuu kwa kuchunguza alacho kuku.
Binti amekuwa mkweli kwako na ameorodhesha vitu kadhaa hapo ambavyo inawezekana ni mapungufu yake. Hivyo unapogundua hilo unaweza kujua namna ya kumbadilisha ama ukawa na uhakika kuhusu mahusiano yenu.

Kama unasaka bikra wa kumuoa nakuhakikishia subiri miaka 10 mingine shekhe.

Muulizeni King'asti alinikuta na wasichana wangapi kabla sijazama seriuosly kwake. Maisha ni unpredictable circle na unaweza ukadhani kuwa amekwenda mileage lakini kumbe ndo amekusanya uzoefu wa maisha utakaowasaidia mbeleni. Inawezekana kabisa huyo binti anakupenda kwa dhati ndo maana amekuwa mkweli kwako. Wengine ni mpaka uzunguuke saana kupata ukweli, ama kuishia kutokuambia ukweli hadi uchunguze mwenyewe.

Je angekudanganya kwamba hakuwahi kuwa na wanaume wengi kabla ungelitamani kumuacha?
 
Mkuu ushauri wako naufanyia kazi.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
kama ishu nii k mile usage inawezekana ikawa imtembea chache ingawa amekuwa na wengi ukilinganisha na aliyedumu na mmoja zaidi ya miaka mitano mabe kila siku k yake ilikuwa inatembea zaidi ya km 50
 
wanaume bana! Ww c umwache? Aliyekwambia k inapimwa hivyo nani?
..k haiwezi tanuka kwa kufanya sn sex!
Somtym mnasema k kubwa cjui nn....angalia icje ukawa km km wale wa kibamia!!?full vicngizio
 
wanaume bana! Ww c umwache? Aliyekwambia k inapimwa hivyo nani?
..k haiwezi tanuka kwa kufanya sn sex!
Somtym mnasema k kubwa cjui nn....angalia icje ukawa km km wale wa kibamia!!?full vicngizio

Hahahaaa, Nipo vizuri, thanks God. Sasa Mkuu si nimekuomba unipe option ya kukufikia lkn?
 
Hapo sepa kabisa maana huyo si demu (thou pia inawezekana anakupima imani yako to see ur reaction). Aisee hiyo nyucci lazima itakua 'CLoSeD for Renovation' maana watu bwena washapita!
 
pole sana kaka inaonesha hupendi kuambiwa ukweli,huyo mdada ndo wa kumuoa mana ni mkweli,lakini ukitaka wa kukudanganya utampata mana hato kwambia ukweli hata kama alikuwa na msululu wa wanaume ata kudanganya ili umuoe,lakin huyo kafunguka we unataka kumwacha?huyo ni mkweli na ujue kabadilika ndo mana anasema kwa sasa anataka partner wa maisha.

je unafikiri hao wadada walio olewa wote walikuwa decent?wengine wana historia kushinda ya huyo ila wanapretend kuwa walikuwa decent. kama unampenda go on and forget the past coz no one is perfect.
 
Back
Top Bottom