Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .
Msarendo unamjua vyema figganigga? Mia
Yeah nalijua hiloKumbuka huko nikwe2 wote?
Haya bhana , basi sawa , lakini hakuna tajiri anayependa wafanyakazi wake wafe kwa style hiyo wala anayependa kupoteza pesa zake kizembe , ndiyo maana tunasema ni tukio la Bahati mbaya .
Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .
????? halafu wanataka kustandardize matokeo ya form4? kweli hii nchi imekuwa kama chombo kisicho na nahodha
tukileta uswahili sana, kilichompiga ni risasi, bastola wala haijamgusa, tena aliyempiga kaondoka nayo
ooh my God...she cant be that lady..huwa anakaa pembeni pale kwenye computer na jamaa wale wanauza balaa rest in peace lady
mwenya kampuni kalala, binti wa watu anabeba pesa nyingi na kuishia kuuwawa... si ajabu mshahara wake ulikua mdogo tu
Lol!
So sad!
Mwenyenzi MUNGU ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi!
Aaamen!
Hahahahahaaa, umaarufu wake ulikuja kwa kasi na unaondoka kwa kasi mbaya. Wamempa wizara lile kazi kwisha, na sasa wanamtengenezea zengwe kama walivyomfanyia Ngereja!!! Maskini siku zake zinahesabika