K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

K/Koo: Mwanadada kapigwa risasi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,680
Reaction score
59,179
Kuna mwanadada K/koo Dar es salaam kapigwa risasi na watu wasio julikana. Haijajulikana sababu ni nini. bado naendelea kufuatilia jina lake. mia
===============
Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .
 
kuna mwanadada k/koo dar es salaam kapigwa risasi na watu wasio julikana. haijajulikana sababu ni nini. bado naendelea kufuatilia jina lake. mia
Dwell on the motive!
Ndo cha muhimu
 
kuna mwanadada k/koo dar es salaam kapigwa risasi na watu wasio julikana. haijajulikana sababu ni nini. bado naendelea kufuatilia jina lake. mia

Sio jina tu mkuu tafuta na mazingira ya tukio yalikuwaje, je walimuibia chochote? Walitumia usafiri gani? Kuna mwengine aliyeshambuliwa or not.
 
Resuming...
... Disconnected...
 
sasa kama habari huna uhakika nayo unatupostia humu ili iweje!!!
 
Mbona umeharakisha kuleta habari ambayo hujajiridhisha nayo? Lete taarifa iliyokamilika bhana.
 
She dead?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Anaitwa MWASITI , ni mfanyakazi wa DUKA LA VIFAA VYA HOSPITALI LA GRANTS CARE LTD , KIPATA / CONGO STREET , Taarifa zinasema kwamba alikuwa anapeleka pesa bank ya HABIB KARIAKOO , alikufa hapohapo , ni dada ninayemfahamu sana , inasikitisha sana , Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili , amina . Angalizo , pamoja na k/koo kuzalisha pesa nyingi sana kutokana na biashara zilizopo , lakini Usalama wake ni Hafifu mno , mhalifu anaweza fanya lolote bila kukamatwa ! Shortly ni kama hakuna usalama kabisa .
 
Yaani pamoja na foleni lote la kariakoo na jumamosi yote hii.. Polisi imarisheni ulinzi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mwenya kampuni kalala, binti wa watu anabeba pesa nyingi na kuishia kuuwawa... si ajabu mshahara wake ulikua mdogo tu
 
Back
Top Bottom