einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,684
Mkuu mda huo wa kumwambia hivyo utaupata wapi?kabla ya kutoa pesa chukua kagua kwanza kikiwa chenyewe husimrudishie ili akuwekee katika mfuko. mwambie mfuko utanunua mwenyewe, ukipugi ukampa akuwekee yeye umepigwa. Wakikuona unawakazia wanajifanya hawauzi tena. wale wa karata tatu husicheze kamwe utaliwa tu. wanaojifanya wanacheza nao ni wenzao. Ntakuja na uzi mwingine kuonesha namna wanvyotuibia
Wakati huo akili si yako tena kaka!