Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
mliman city jamaa kaja vzr kama mgeni afu anapiga ngeli tupu anataka nimwelekeze mwanaume nadakia tu yes...ofcourse....no.. lugha ikanifanya nimwamini asee nilikuja kujua nimetapeliwa baadae taratibu nikaanza kujongea kituon kutafuta usafiri