K.G.B Espionage na Ujasusi kwa njia ya ngono kama silaha ya vita. Honey trap/Honeypot....Part One (1)

Hii kitu ndio ilitumika kumkamata jombi wa mbeya enzi hizo.
Huyu alikuwa jambazi sugu na kutishia usalama wa Mali za RAIA wa mbeya na mikoa ya jirani.

Kilitafutwa kifaa kutoka moshi CCP kikapewa mafunzo na kutumwa mbeya.
Mwanaume kapigwa chali.
 
Haswa, waandishi na watunzi wa biblia ndio watawala wa dunia, mabillionea wenye Ku corrupt mataifa, waanzilishi wa uchochezi,ugaidi, kote duniani, case in point, Saddam na Qaddafi, nahiyo Arab spring, wamiliki was migodi yote yadhahabu naalmasi duniani
Naomba ufunguke kuhusu hilo ndugu. Umeniacha njia panda mno.
Usisahau kuni#
 
Samson anaelewa kilichotokea kwa derila pia nasikia hata yule jamaa pkgm ana mabinti anawatumia kwa ajili ya kukusanya taatifa kutoka kwa viongozi vyeti wa tz hususani Dodoma kipindi cha bunge,vyuo udsm,nit,ifm nk.na wamejaa mita ya sinza,tabata,mwenge akina YAMBU YAMBU
 
Back
Top Bottom