K.G.B Espionage na Ujasusi kwa njia ya ngono kama silaha ya vita. Honey trap/Honeypot....Part One (1)

kasusura kule tanga alilengeshwa na mwanamke baada ya kupiga lile deal na kujaribu kutorokea nje ya nchi kwa kupitia mpaka wa holili.
 
Ni mbinu ambayo ilitumika na inaendelea kutumika hadi leo, niliwahi kuongea na rafiki yangu mmoja Mbunge mstaafu alinipa habari nyingi sana za kinachoendelea kwa wabunge na wadada hao, inasikitisha sana
 
Kuna lodge moja hapa mhudumu mmoja sijui alikuwa ananifikiriaje ni msichana tofauti na wahudumu niliowazoea ila siku moja napiga kitu cha k vant nikamuita japo nimsomeshe anipe kampani akawa anaruka ruka ila nilivyomuuliza wewe ni TISS akajifanya haelewi nikamwandikia kwenye tissue akasoma na kuondoka kataratibu hadi leo sijawahi muona tena
 
Kuna lodge moja hapa mhudumu mmoja sijui alikuwa ananifikiriaje ni msichana tofauti na wahudumu niliowazoea ila siku moja napiga kitu cha k vant nikamuita japo nimsomeshe anipe kampani akawa anaruka ruka ila nilivyomuuliza wewe ni TISS akajifanya haelewi nikamwandikia kwenye tissue akasoma na kuondoka taratibu hadi leo sijawahi muona tena
 
Kuna lodge moja hapa mhudumu mmoja sijui alikuwa ananifikiriaje ni msichana tofauti na wahudumu niliowazoea ila siku moja napiga kitu cha k vant nikamuita japo nimsomeshe anipe kampani akawa anaruka ruka ila nilivyomuuliza wewe ni TISS akajifanya haelewi nikamwandikia kwenye tissue akasoma na kuondoka kataratibu hadi leo sijawahi muona tena
ulimuandikia kuhusu nini mkuu
 
Back
Top Bottom