JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Hivi kati ya mwanajeshi na police ffu nani anakaa na siraha muda mwingi wale wanajeshi kazi yao fatiki za kufagia na kufyeka makambini lindo inchage ndo anaebeba smg yenye risasi ambae mwenye cheo kuanzia cpl
 
Acha uongo ww
 
Kazi ya jeshi ni mateso ni sawa na kuwa mfungwa muda wote upo kambini.
 
Hivi kati ya mwanajeshi na police ffu nani anakaa na siraha muda mwingi wale wanajeshi kazi yao fatiki za kufagia na kufyeka makambini lindo inchage ndo anaebeba smg yenye risasi ambae mwenye cheo kuanzia cpl
Kwa hiyo jeshi la polisi hakuna fatiki kama kufagia kambini,kufyeka ???Kingine kukaa na silaha muda mrefu ndio nini??
 
Hivi Polisi wakiwa kwao si nao ni Jeiwii wa huko? halafu kama mtoto wa mama mkubwa na mdogo maana hata salamu zao ''Jambo afande'' Nadhani huu ni ugomvi wa ndugu tusiuingilie!
 
Ha ha jw wakiambiwa na polisi kua ni wajinga wanaleta vurugu.kama depo kila mtu ameenda kwani kulipua mizinga ndo nn bhana, jw akikaa vbaya tukamfumania tunamchezesha akileta shobo .polisi ndo kila kitu ,WAZII!.?
 
Polisi depo yake darasani kujifunza sheria, achana na habari ya mjeshi...ila kikubwa police wana penda usawa wana taka heshima kutoka kwa wana jeshi kitu amabao mjeshi hawezi kukitoa kwa police na pia hii inachangiwa na walivyo jengwa toka mafunzoni kua police ni kazi ya wanawake hata mbwa nae alitoroka jeshi akakimbilia police....
Mkuu unapajua CCP wewe? Unapajua pori (knjarofoot) ,take care utaumia.medani na dalasani kote kazi hata wajeda klas wanaenda,
 
Unajua nyinyi wanajeshi hamueleweki mara mseme ukiona mtu wanafanya uharifu sio mwanajeshi kwasababu mwanajeshi huwa anafundishwa nidhamu.

lakini mm sina wasiwasi Na kauli yako kwasababu najua nyinyi wanajeshi mnaakili mbovu Ila mm nawashauri
wanajeshi mkiachana na huo uanajeshi wenu tueshimiane tu Na msidhani uanajeshi ndio kila kitu kwenye maisha.

Na kuwa mkakamavu sio lazima uwe mwanajeshi Ila.
Mjeda akinunua sabufa aa simu smatfon na flatskrin ya nch 14 anaona amemaliza maisha kene makambi yao yale sjui kj
 
Jw mda wote kikosini kama nguruee,hakuna cha kuringia jw.zaid wamejazwa upepo aka wamekua brainwashed kua jw ndo kila kitu ila polis ndo jeshi very smat n intelijent
Sawa afande pc hayo ni maoni yako na tunayaheshimu
 
Jw mda wote kikosini kama nguruee,hakuna cha kuringia jw.zaid wamejazwa upepo aka wamekua brainwashed kua jw ndo kila kitu ila polis ndo jeshi very smat n intelijent
Unasemaje wewe raia mkakamavu hivi jw wote wanakaa ndani ya kambi??
 
Back
Top Bottom