ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,004
We ni mshabiki wa fujo, na huvisaidii vyombo vya dola. Wote wanapigana, lkn waathirika zaidi huwa ni jwtz. Wamejeruhiwa na baadhi wamekufa kwa upuuzi unaoutetea.Si kweli. Na haitokaa itokee
Musoma alikufa, arusha alikufa. Siyo vema kushabikia uvunjifu wa amani